Mtalii kutoka Marekani aichana makavu Tanzania kwenye Luninga

huyu mtalii ni mjinga, anafikiri hatujafika kenya, uganda na Ulaya?
Hata mm namshangaa huyu mtalii. Uganda iko mbele ya Tanzania kwa mtandao wa barabara na kasi ya internet??

Vitu vya ukweli ktk maelezo ya huyu mjinga ni kasi ya internet na gharama huko Kenya..

Wingi na umahiri wa kuzungumza kiingereza. Lkn kiingereza ni lugha tu kama ilivyo kiha na kinyamwezi wala hakileti ugali mezani
 
Jambo jambo?

Ametetea point yake kwa kulinganisha yafuatayo:

- Internet Kenya iko kasi na ni very cheap huku Tanzania internet iko slow licha ya mitandao ya simu kuwa mingi na ni ghali.
Issue kama ni Ukasi gharama labda sasa hivi Baada ya Serikali kulikoroga kwa kuingilia watoa huduma na kuwapangia bei; Kuna kipindi Pound for Pound Bei za Vifurushi hapa Tanzania ningeweza kupata Gharama ya Bundle chee kuliko Mtu aliyepo Uingereza anavyopata kwao....
- Road network Kenya na Uganda ziko vizuri huku Tanzania hali ikiwa tete mpaka kuna maeneo mjini hayana miundombinu mizuri.
Naam kwa Mtalii na zile Safari, Rough Roads na Offroads hio pia ni part ya Utalii, unavyokwenda Serengeti na zile barabara ile ni part ya utalii kama vile ukienda kupanda milima ya mawe hautegemei upate hali ya kama mtu aliyepo kwenye Rolls Royce
- Lugha ya Kiingereza Kenya inazungumzwa kwa ufasaha na kwa wingi tofauti na Tanzania na Kenya wageni hawapati taabu.
Kwahio niseme wachina wapo nyuma sababu hawajui kingereza ? Yeye anajua lugha ngapi ? Lugha tofauti pia ni part ya utalii nikienda Ufaransa nikakuta wafaransa wanaongea kama wasukuma niliowaacha huku naweza kuona bora ningebaki hukuhuku usukumani
- Ushirikiano kati ya diaspora na African Americans waliopo nchini Tanzania ni mfinyu sana huku Kenya na Uganda ikitupiga gepu.
Sasa wameleta ushirikiano huku tumekataa ?!!! Wakenya wenyewe kwa wenyewe kwanza hata haziivi waganda ndio usiseme hata lugha inayowaunganisha hawana..., Huyu Bwana kweli ni mtalii au ndio kipofu kaona mwezi....
- Mengine jazia kwa video.
Kwa dondooo hizo ngoja nisipoteze MB (ukizingatia tumeambiwa Internet ni Gharama) Anyway to each his / own na ni haki yake kutoa maoni (He is entitled to his opinions lakini sio his own facts....

By the way Royal Tour hakuiona ?!!!! Sababu tunaambiwa Royal Tour imetibu kabisa issue za utalii (ingawa wengine tulishauri wawekeze ground na sio kwenye propaganda)
 
Viongozi wa hii nchi wengi wamesoma Kwa kuunga unga kufail kwingi imagine PayPal haifanyi kazi bongo sababu za maana hakuna , kupata visa ya kutoboka nje tuu milolongo mirefu , mikataba ndo hyo unamwambia mwekezaji akianza kupata faida basi akufikrie na ww
Mpk yule mkuu wa nchi kaunga unga kinoma.
 
Jambo jambo?

Hii video ilikuwa mahojiano ya kipindi maalum ambacho huwahoji watalii kutoka duniani na waliotembelea Kenya, Uganda, na Tanzania, in short ni EAC.

Jamaa amewapa makavu kuwa Tanzania inaiishi miaka 30 nyuma ya dunia huku nchi jirani zikiendelea kuchapa mwendo.

Lakini tusisahau kuwa sisiem wanatuambia kuwa nchi inafunguka na maendeleo tunayoyafanya yanaendana na nchi nyingi Afrika.

Mtaalii huyo ameenda mbali na kusema Kenya ni kama Indonesia kwa kuchapa maendeleo huku Tanzania ni kama Cambodia miaka 30 nyuma.

Ametetea point yake kwa kulinganisha yafuatayo:

- Internet Kenya iko kasi na ni very cheap huku Tanzania internet iko slow licha ya mitandao ya simu kuwa mingi na ni ghali.

- Road network Kenya na Uganda ziko vizuri huku Tanzania hali ikiwa tete mpaka kuna maeneo mjini hayana miundombinu mizuri.

- Lugha ya Kiingereza Kenya inazungumzwa kwa ufasaha na kwa wingi tofauti na Tanzania na Kenya wageni hawapati taabu.

- Ushirikiano kati ya diaspora na African Americans waliopo nchini Tanzania ni mfinyu sana huku Kenya na Uganda ikitupiga gepu.

- Mengine jazia kwa video.

My Take: Sitaki kufuatilia sana upande wa pili lakini ni dhahiri kuwa nchi hii sisiem wametuchelewesha sana na rasimali zetu zinapigwa minada waziwazi huku tukijinasibu kuwa tuna miaka 60 ya uhuru na hata Jiji la Mwanza mpaka leo halina maji licha ya kuwa jirani na Ziwa.

#Royotuwa
#Anaupigamwingi
#anafunguanchi
#nani kama mama

TULIJIROGA WENYEWE
View attachment 2670315

Kwasasa
Kahama,Tanzania
Tanzania unafiki tu wa kuwasifia viongozi wabovu huku umaskini na ujinga vikiongezeka
 
Sasa huyo mtalii mwenyewe ukichunguza hayo mahojiano utagundua bado ana akili za kitoto, anawaza wanawake tu. Na wanawake Kenya ni wepesi saana hivyo alivyofika huko akajiona king mswat, japo ni kweli aliyosema nchi yetu kwenye suala la barabara na miundombinu muhimu tuko nyuma, na hasa usafi na mpangilio wa miji ni sifuri kabisa
 
Kabisa ukitoka nje ya nchi na kurudi ndio utagundua tupo nyuma. Hawa vijana wanaobeti mchana usiku hawaelewi kitu.
 
Sasa huyo mtalii mwenyewe ukichunguza hayo mahojiano utagundua bado ana akili za kitoto, anawaza wanawake tu. Na wanawake Kenya ni wepesi saana hivyo alivyofika huko akajiona king mswat, japo ni kweli aliyosema nchi yetu kwenye suala la barabara na miundombinu muhimu tuko nyuma, na hasa usafi na mpangilio wa miji ni sifuri kabisa
Nyie ndio watanzania typical msiojitambua wala kuhitaji maendeleo. Mmeo asipokupiga huridhiki.
 
mi nadhani yeye alitakiwa ajivunie kuona watu wanazungumza kiswahili kwakua ndio lugha ya africa kwa sasa sasa anazunguzia lugha mbona waarabu awajui kingereza na wamepiga hatua kubwa sana hao ndio watalii wa mchongo wa LGBTQ
Mkielezewa udhaifu wenu kubalini kubadilika na kukubali madhaifu yenu..mmeanza ingiza ishi za LGBTQ..shame
 
Back
Top Bottom