Mtalii kutoka Marekani aichana makavu Tanzania kwenye Luninga

Mtalii kutoka Marekani aichana makavu Tanzania kwenye Luninga

kuna mabara mbali na Africa awaijui Tanzania,ukimwambia natokea east Africa atakuuliza "Nairobi?".

ukijaribu kuchimba chimba uone ni mji au nchi gani awa watu wanaweza kuijua labda kwa east Africa wanaangukia"Kigali".
ukijipinda saana kutafiti ukimpata wa kuijua TZ atakutajia Arusha basi,Dar tupa kule awaijui Duniani huko.
 
hii ni kweli
 
Ukiambiwa ukweli usimaindi bali uchukue ukweli wake uudadisi na kuufanyia kazi.

Nimepitia komenti kadhaa na nimeona wabongo wengi tupo kwenye kakisiwa chetu cha comfort zone.

Na jamaa kaja kutuamsha kwa kutumwagia maji ya baridi tumemaindi, tunataka tumdunde eti kwa nini hajatuamsha na nyoya laini la njiwa.

Kwa sasa inatakiwa tuamke tutake tusitake, tutafute panapovuja turekebishe kama anavyofanya mchina.
20230613_113223.jpg
 
Kenya Internet ni ghali sana, nimeishi huko

Kenya barabara ni finyu sana na mbovu sana, ukitaka nenda Nai, Eld ndo utaelewa
Shida ukute ameishia Nairobi tu tayari yupo kutoa takwim
 
huyu mtalii ni mjinga, anafikiri hatujafika kenya, uganda na Ulaya?
MASHOGA YA NAMNA HII HUWA YANATUMWA NA KUFUNDISHWA NAMNA YA KUICHAFUA NCHI AMBAYO INAKUWA SHINDANI NA KULIPWA, "WE CALL THIS A BAD BUSINES TRICK! /"
NI akili chafu na mbovu za kizamani sana za wakenya.
 
Huyo unayemuita mtalii na wewe ni mapapai tu... Inaonekana hujatembea E.Africa, Yaani Tz uione ipo nyuma ya Uganda na Kenya ktk hayo ulivyosema ni upumbav...
 
- Lugha ya Kiingereza Kenya inazungumzwa kwa ufasaha na kwa wingi tofauti na Tanzania na Kenya wageni hawapati taabu.
Mimi nichukue tu hili hapa, hayo mengine watayabeba wengine.

Kwa maana ya huyo 'mtalii', Ujerumani, China, Japan, Korea Kusini wasiojua Kiingereza ni hohehai kwa maendeleo!

Kuna watu wajinga sana (mashabiki), sijui kati yao na wewe mleta mada ni mmoja wao!
 
Ukiambiwa ukweli usimaindi bali uchukue ukweli wake uudadisi na kuufanyia kazi.

Nimepitia komenti kadhaa na nimeona wabongo wengi tupo kwenye kakisiwa chetu cha comfort zone.

Na jamaa kaja kutuamsha kwa kutumwagia maji ya baridi tumemaindi, tunataka tumdunde eti kwa nini hajatuamsha na nyoya laini la njiwa.

Kwa sasa inatakiwa tuamke tutake tusitake, tutafute panapovuja turekebishe kama anavyofanya mchina.View attachment 2670444

kweli kbsaaa
 
Huyo unayemuita mtalii na wewe ni mapapai tu... Inaonekana hujatembea E.Africa, Yaani Tz uione ipo nyuma ya Uganda na Kenya ktk hayo ulivyosema ni upumbav...

Pathetic fool.

Unajiona umetembea nchi ngapi??
Kwanini usijibu hoja kwa hoja badala yale unakuja kuleta matusi.

“Kijumbe hauwawi”

Mat@kro yako

hovyoooo
 
Back
Top Bottom