Mtalii kutoka Marekani aichana makavu Tanzania kwenye Luninga

🤣 🤣 🤣
 
EEeeenHeeeee!

Unawaaibisha sana wahaya kwa akili za aina hii. Nawafahamu sana watu makini wanaotokea sehemu hizo siyo kama wewe. Bila shaka wewe ni pandikizi tu!
🤣 🤣 🤣
 
Sisi tuna uhusiano na China, Oman, India and we are happy.
Na yeye kama anaona nchi yetu sio poa, aende huko anakofikiri ni poa.
 
Sisi tuna uhusiano na China, Oman, India and we are happy.
Na yeye kama anaona nchi yetu sio poa, aende huko anakofikiri ni poa.
Huyo katoa maoni yake kuhusu anavyoiona nchi yenu sasa kosa lake nini au mnataka tu angetoa maoni kumsifia mama kinafiki kama mnavyofanya.

Kumbuka watu wa nchi zingine hawapendi unafiki kama tunavyopenda watanzania.
 
huyu mtalii ni mjinga, anafikiri hatujafika kenya, uganda na Ulaya?
Badala tu ya kukanusha na kusema mtalii ni mjinga nadhani ingekuwa jambo zuri ungetupatia majibu ya yale aliyoyasema, kwa mfano ungetuambia si kweli kwamba intaneti TZ ni sawa na mwendo wa konokono na huku vifurushi vikiwa bei juu,je si kweli kwamba lugha ya mawasiliano na wenzetu wa nje sisi ni bure kabisa, na huduma zetu huko mbugani ni sifuri? kwenye vyombo vya habari tumesikia hapa kuwa watalii wakija TZ hawarudi tena. Tatizo waTZ tunapenda tusifiwe tu hata pale tunapojijua hatuna uwezo, na hapa ndipo tulipofikia,hatutaki kuambiwa yale tusiyoyapenda tuyasikie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…