Mtambo wa pili bwawa la Nyerere kuwashwa, kumaliza kabisa mgao wa umeme nchini

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Serikali inatarajia kuwasha mtambo wa pili wa kufua umeme kwenye bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere pamoja na changamoto ya kuzidi maji katika bwawa hilo. Mkurugenzi wa Tanesco kanda ya mashariki, Kenneth Boymanda amesema majaribio yanaendelea ambapo mtambo huo unaojulikana kama mtambo namba nane majaribio yamefanyika kuupa njia ya kuwashwa.

Mwezi uliopita uliwashwa mtambo wa kwanza wa megawati 235 na kupunguza kwa kiwango kikubwa mgao wa umeme, inatarajiwa kuwashwa kwa mtambo huu wa pili mwishoni wa mwezi April kutamaliza kabisa mgao wa umeme nchini.

PIA SOMA

TUHUMA ZA UFISADI NA HUJUMA

HISTORIA
 
Serikali inatarajia kuwasha mtambo wa pili wa kufua umeme kwenye bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere pamoja na changamoto ya kuzidi maji katika bwawa hilo. Mkurugenzi wa Tanesco kanda ya mashariki, Kenneth Boymanda amesema majaribio yanaendelea ambapo mtambo huo unaojulikana kama mtambo namba nane majaribio yamefanyika kuupa njia ya kuwashwa.

Mwezi uliopita uliwashwa mtambo wa kwanza wa megawati 235 na kupunguza kwa kiwango kikubwa mgao wa umeme, inatarajiwa kuwashwa kwa mtambo huu wa pili kutamaliza kabisa mgao wa umeme.
Tunayo miundombinu imera ya kuweza kusafiriaha umeme huo?
Nina wasiwasi kama Grid ina capacity ya kusafirisha megawatt zote zitakazo zalishwa na kama ndivyo basi tunahitaji mradi mwingine wa kuboresha miundombinu ya kusafirisha Umeme utakaozalishwa
 
Tatizo la umeme halitakwisha hata ikiwashwa mitambo yote.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji854][emoji854][emoji854][emoji854][emoji854]
 
Dada yangu kipenzi mbona unatuvunja moyo

Ova
Siwavunji moyo, tatizo lililopo sasa hivi siyo kuwa hatuna umeme wa kutosha.

Tatizo hatuna ukanja wa kuendesha shirika kubwa namna hilo kiufanisi.

Kinyerezi I, II, III, IV na vyanzo vingine vya umeme vya zamani vinatutosha kabisa kutokuwa na tatizo la umeme tulilonalo.
 
Tunayo miundombinu imera ya kuweza kusafiriaha umeme huo?
Nina wasiwasi kama Grid ina capacity ya kusafirisha megawatt zote zitakazo zalishwa na kama ndivyo basi tunahitaji mradi mwingine wa kuboresha miundombinu ya kusafirisha Umeme utakaozalishwa
Huo mradi sindio uliomfanya Marope kuwa billionaire? Hela alishazichukua February Marope
 
Back
Top Bottom