Mtambo wa pili bwawa la Nyerere kuwashwa, kumaliza kabisa mgao wa umeme nchini

Mtambo wa pili bwawa la Nyerere kuwashwa, kumaliza kabisa mgao wa umeme nchini

Magufuli kwa kweli alikuwa mwanaume na mzalendo aliyeipenda sana nchi yetu. Mi naona ifike mahali tuache kucheka na vibwengo vilivyojivika vazi la uongozi, ambavyo kazi yao kubwa ni kuihujumu nchi yetu.
Tunawataka kina Magufuli wengi zaidi sasa kuliko wakati wowote ule ili kuilinda miundombinu yote ya kimkakati aliyoiacha Hayati JPM.
Nakwambia kweli hata wakitokea hamtawaamini.

The future of Tanzania is determined by Tanzanian themselves and they are happy with the current situation.

Nchi hii ina wazalendo wengi sana ila wakionyesha uzalendo wao wanaonekana wabaya, waasi, wakorofi. Na wananchi kutokana na elimu ndogo wanaamini kila wanachoambiwa na kuanza kuwachukia.

MFANO:
Kuna hii hali ambapo mwanamke akitokea kumpenda mwanaume kwa mara ya kwanza kwa dhati lakini mwanaume akaonyesha kutojali, basi kinachotokea kwa wanawake upendo unageuka na kuwa chuki Kali dhidi ya mwanaume huyo.

Hii hali ndio inayotokea kwa wazalendo Tanzania. Upendo kwa Nchi yao hubadilika kuwa chuki na kutoijali Tanzania na kuona kuwa ni sikio la kufa. Hivyo wao pia hugeuka wezi, wabadhilifu au aina yeyote ya watu wenye matendo ya siri yasiyo ya kizalendo na yasiyo pendeka kwa jamii.

Mugufuli alikuwa ni mzalendo aliyepata nafasi ya kuonyesha uzalendo wake katika taifa. Ila Naamini kuna wazalendo wengi tuu wanaolipenda taifa. Sema wameshakatishwa tamaa na mifumo ya kila siku na laiti wakitaka kuonyesha chachu ya kuleta mabadiliko wataonekana wahaini au wasaliti.
 
Alikuwa kichwa yes but si maeneo yote. Tatizo lake he thought anajua kila kitu. Na shida ndio ilianzia hapa. Lakin overall alikuwa mtu sahihi wa kuleta maendeleo
Ni kweli siyo maeneo yote. But angeweza kuvusha hii inchi toka hapa tulipo ndani ya muda mfupi sanaaa.
 
Naibu waziri mkuu mh Dr Biteko amesema Mtambo namba 8 na 7 Bwawa la Umeme la Nyerere itawashwa Hivi Karibuni Baada ya Majaribio kwenda vizuri

Biteko amesema kuwashwa kwa mitambo hiyo kutamaliza kabisa tatizo la Umeme nchini

Tutampata wapi sisi Mtu kama Magufuli ambaye Mungu wa Mbinguni anakaa ndani yake?

Mlale Unono 😄😄🔥
Rubbish, rubbish, rubbish!
 
TANZANIA ILIKUWA INAHITAJI MTU KAMA DR.SAMIA ONA MAMBO YANAVYOKWENDA MUBASHARA.
 
Back
Top Bottom