Mtambo wa pili bwawa la Nyerere kuwashwa, kumaliza kabisa mgao wa umeme nchini

Mtambo wa pili bwawa la Nyerere kuwashwa, kumaliza kabisa mgao wa umeme nchini

Kwamba tukuamin wewe mpiga kelele wa mitandaoni na sio serikali kuwa ? Serikali imekanusha zaudi ya mara 10 kuwa bwawa limesaidia kidogo kupunguza madhira ya mafuriko wewe unasema bwawa ni chanzo cha mauriko
Mkuu maamuzi ya kuamini unayo wewe mwenyewe, sijalazimisha mtu! Na maoni yako nayaheshimu pia.
 
Naibu waziri mkuu mh Dr Biteko amesema Mtambo namba 8 na 7 Bwawa la Umeme la Nyerere itawashwa Hivi Karibuni Baada ya Majaribio kwenda vizuri

Biteko amesema kuwashwa kwa mitambo hiyo kutamaliza kabisa tatizo la Umeme nchini

Tutampata wapi sisi Mtu kama Magufuli ambaye Mungu wa Mbinguni anakaa ndani yake?

Mlale Unono 😄😄🔥
Kwa tulipofikia hii nchi yetu, binafsi, mtu anayetoa kauli kama hiyo, ili niiamini, ni mpaka nione kweli umeme haukatiki..!! Hawa wa MEGAWATI hawa wameshatamka kauli za hivi mara kibao..!!
 
Biteko amesema kuwashwa kwa mitambo hiyo kutamaliza kabisa tatizo la Umeme nchini

Tutampata wapi sisi Mtu kama Magufuli ambaye Mungu wa Mbinguni anakaa ndani yake?

Subiri uone atavyosifiwa mama kwa kuruhusu mtambo uwashwe...
 
Naibu waziri mkuu mh Dr Biteko amesema Mtambo namba 8 na 7 Bwawa la Umeme la Nyerere itawashwa Hivi Karibuni Baada ya Majaribio kwenda vizuri

Biteko amesema kuwashwa kwa mitambo hiyo kutamaliza kabisa tatizo la Umeme nchini

Tutampata wapi sisi Mtu kama Magufuli ambaye Mungu wa Mbinguni anakaa ndani yake?

Mlale Unono 😄😄🔥
Magufuli kwa kweli alikuwa mwanaume na mzalendo aliyeipenda sana nchi yetu. Mi naona ifike mahali tuache kucheka na vibwengo vilivyojivika vazi la uongozi, ambavyo kazi yao kubwa ni kuihujumu nchi yetu.
Tunawataka kina Magufuli wengi zaidi sasa kuliko wakati wowote ule ili kuilinda miundombinu yote ya kimkakati aliyoiacha Hayati JPM.
 
Project moja tuu kamaliza shida ya Umeme nchi nzima, na hapo ni mitambo 2 tuu imewashwa, bado hiyo mingine 7 sijui.
Kichwa kile ndiyo maana kilikuwa kinapingwa sana na vigogo plus wafanya biashara wakubwa kwenye hii inchi.
Alikuwa kichwa yes but si maeneo yote. Tatizo lake he thought anajua kila kitu. Na shida ndio ilianzia hapa. Lakin overall alikuwa mtu sahihi wa kuleta maendeleo
 
Mkuu unapohusudu ya mwendazake kumbuka na madhila wanayopitia wakaazi wa Rufiji. Tusifurahie tu, tuwatetee na wenyeji wa Rufiji in equal measures.
Wakazi wa Rufiji mnaoaswa kulishukuru sana Bwawa, maana bila hilo balaa lingekuwa kubwa sana nanyi mnafahamu

Hayo maji sio kisima kuchibwa bali ni mvua, hivyo msingetaraji mvua zote hizo ziende hivi hivi wakati hiyo ndio njia yake

Lazima zingepita na nyie kwanza
 
Magufuli kwa kweli alikuwa mwanaume na mzalendo aliyeipenda sana nchi yetu. Mi naona ifike mahali tuache kucheka na vibwengo vilivyojivika vazi la uongozi, ambavyo kazi yao kubwa ni kuihujumu nchi yetu.
Tunawataka kina Magufuli wengi zaidi sasa kuliko wakati wowote ule ili kuilinda miundombinu yote ya kimkakati aliyoiacha Hayati JPM.
Kina magufuli wengine wapo ila sasa waliokaa pale juu hawato ruhusu tena. Nguvu kubwa imebaki kwenu wananchi lakini sasa nyie ndio mmekuwa wa kwanza kuwaabudu hao vibwengo. Hamna umoja moaka wengine wamekuwa chawa wa hao vibwengo. Siku mkiwa wamoja basi mtawapata viongoz wazuri zaid
 
Hiyo mitambo hadi iwashwe labda Yesu akirudi, tupo hapa hapa
 
Kuna simbilisi zilikua zinasema Mwamba JPM kakurupuka kufanya mradi huu, mara hakufanya feasibility study etc. lakini muda huu zinasheherekea kimoyo moyo umeme kuwa wa uhakika. Pumzika pema Mwamba JPM
 
Mkuu ya sasa chanzo chake ni bwawa ili kulinusuru lisibomoke. EIA - (Environment Impact Assessment) Ilitakiwa ioneshe namna ya kushughulikia athari hiyo.

Mkuu mafuriko ya asili na maafa mbali mbali ya ya asili yanatokea sehemu nyingi tu nchi na watu wanaathirika.
Kule Mbeya, Arusha, morogoro na maeneo mengine mengi mafuriko yake ni sababu ya bwawa?
 
Naibu waziri mkuu mh Dr Biteko amesema Mtambo namba 8 na 7 Bwawa la Umeme la Nyerere itawashwa Hivi Karibuni Baada ya Majaribio kwenda vizuri

Biteko amesema kuwashwa kwa mitambo hiyo kutamaliza kabisa tatizo la Umeme nchini

Tutampata wapi sisi Mtu kama Magufuli ambaye Mungu wa Mbinguni anakaa ndani yake?

Mlale Unono 😄😄🔥
Namuona january makamba anazidi kung'ata meno akishirikiana na tundu lissu!
 
Makamba angebaki wizarani mpaka Leo angekuwa anapiga danadana
Waziri wa Nishati Ecuador kafukuzwa kazi na Rais
Maji yamefika 30% kwenye bwawa
Rais ameunda timu kuchunguza na yeye akiwemo
Amesema ni kundi la majambazi wizarani na lazima awashughulikie ipasavyo

Sijui kwa nini Nishati kuna ulaji hivyo?
Yaani Rais wa Ecuador ana hasira nao ile mbaya na amesema mwaka huu lazima Umeme ushuke nusu ya kima cha sasa

Je sisi tutaweza?
 
Back
Top Bottom