Mafuriko ya Rufiji yana historia ndefu. Usichanganye mambo.Mkuu unapohusudu ya mwendazake kumbuka na madhila wanayopitia wakaazi wa Rufiji. Tusifurahie tu, tuwatetee na wenyeji wa Rufiji in equal measures.
Mkuu maamuzi ya kuamini unayo wewe mwenyewe, sijalazimisha mtu! Na maoni yako nayaheshimu pia.Kwamba tukuamin wewe mpiga kelele wa mitandaoni na sio serikali kuwa ? Serikali imekanusha zaudi ya mara 10 kuwa bwawa limesaidia kidogo kupunguza madhira ya mafuriko wewe unasema bwawa ni chanzo cha mauriko
πMafuriko ya Rufiji yana historia ndefu. Usichanganye mambo.
Kwa tulipofikia hii nchi yetu, binafsi, mtu anayetoa kauli kama hiyo, ili niiamini, ni mpaka nione kweli umeme haukatiki..!! Hawa wa MEGAWATI hawa wameshatamka kauli za hivi mara kibao..!!Naibu waziri mkuu mh Dr Biteko amesema Mtambo namba 8 na 7 Bwawa la Umeme la Nyerere itawashwa Hivi Karibuni Baada ya Majaribio kwenda vizuri
Biteko amesema kuwashwa kwa mitambo hiyo kutamaliza kabisa tatizo la Umeme nchini
Tutampata wapi sisi Mtu kama Magufuli ambaye Mungu wa Mbinguni anakaa ndani yake?
Mlale Unono πππ₯
Kweli wewe much knowBado sana walau tufikie megawatt elfu20
Biteko amesema kuwashwa kwa mitambo hiyo kutamaliza kabisa tatizo la Umeme nchini
Tutampata wapi sisi Mtu kama Magufuli ambaye Mungu wa Mbinguni anakaa ndani yake?
Magufuli kwa kweli alikuwa mwanaume na mzalendo aliyeipenda sana nchi yetu. Mi naona ifike mahali tuache kucheka na vibwengo vilivyojivika vazi la uongozi, ambavyo kazi yao kubwa ni kuihujumu nchi yetu.Naibu waziri mkuu mh Dr Biteko amesema Mtambo namba 8 na 7 Bwawa la Umeme la Nyerere itawashwa Hivi Karibuni Baada ya Majaribio kwenda vizuri
Biteko amesema kuwashwa kwa mitambo hiyo kutamaliza kabisa tatizo la Umeme nchini
Tutampata wapi sisi Mtu kama Magufuli ambaye Mungu wa Mbinguni anakaa ndani yake?
Mlale Unono πππ₯
Watu wengine ni wajinga na hawataki kuachana na ujingaKwaiyo miaka ya nyuma mafariko yalikuwa yanasababishwa na bwawa?
Alikuwa kichwa yes but si maeneo yote. Tatizo lake he thought anajua kila kitu. Na shida ndio ilianzia hapa. Lakin overall alikuwa mtu sahihi wa kuleta maendeleoProject moja tuu kamaliza shida ya Umeme nchi nzima, na hapo ni mitambo 2 tuu imewashwa, bado hiyo mingine 7 sijui.
Kichwa kile ndiyo maana kilikuwa kinapingwa sana na vigogo plus wafanya biashara wakubwa kwenye hii inchi.
Wakazi wa Rufiji mnaoaswa kulishukuru sana Bwawa, maana bila hilo balaa lingekuwa kubwa sana nanyi mnafahamuMkuu unapohusudu ya mwendazake kumbuka na madhila wanayopitia wakaazi wa Rufiji. Tusifurahie tu, tuwatetee na wenyeji wa Rufiji in equal measures.
Kina magufuli wengine wapo ila sasa waliokaa pale juu hawato ruhusu tena. Nguvu kubwa imebaki kwenu wananchi lakini sasa nyie ndio mmekuwa wa kwanza kuwaabudu hao vibwengo. Hamna umoja moaka wengine wamekuwa chawa wa hao vibwengo. Siku mkiwa wamoja basi mtawapata viongoz wazuri zaidMagufuli kwa kweli alikuwa mwanaume na mzalendo aliyeipenda sana nchi yetu. Mi naona ifike mahali tuache kucheka na vibwengo vilivyojivika vazi la uongozi, ambavyo kazi yao kubwa ni kuihujumu nchi yetu.
Tunawataka kina Magufuli wengi zaidi sasa kuliko wakati wowote ule ili kuilinda miundombinu yote ya kimkakati aliyoiacha Hayati JPM.
Mfuateni huko JehannamTutampata wapi sisi Mtu kama Magufuli ambaye Mungu wa Mbinguni anakaa ndani yake?
Mlale Unono πππ₯
Kule Mbeya, Arusha, morogoro na maeneo mengine mengi mafuriko yake ni sababu ya bwawa?Mkuu ya sasa chanzo chake ni bwawa ili kulinusuru lisibomoke. EIA - (Environment Impact Assessment) Ilitakiwa ioneshe namna ya kushughulikia athari hiyo.
Mkuu mafuriko ya asili na maafa mbali mbali ya ya asili yanatokea sehemu nyingi tu nchi na watu wanaathirika.
Namuona january makamba anazidi kung'ata meno akishirikiana na tundu lissu!Naibu waziri mkuu mh Dr Biteko amesema Mtambo namba 8 na 7 Bwawa la Umeme la Nyerere itawashwa Hivi Karibuni Baada ya Majaribio kwenda vizuri
Biteko amesema kuwashwa kwa mitambo hiyo kutamaliza kabisa tatizo la Umeme nchini
Tutampata wapi sisi Mtu kama Magufuli ambaye Mungu wa Mbinguni anakaa ndani yake?
Mlale Unono πππ₯
Waziri wa Nishati Ecuador kafukuzwa kazi na RaisMakamba angebaki wizarani mpaka Leo angekuwa anapiga danadana