Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Unajifariji kubali umefungwa basi

[emoji375][emoji375]
 
Duu siku izi kuna sub 4 bas ni mechi ya kirafiki kwani simba haina majeruhi kwann Wa Tz tuna roho mbaya ivi wachezaji 9 Wa kikosi cha kwanza wawe majeruhi hata Arsenal haijawahi tokea
Iyo timu ina majeruhi 9 wa kikosi cha kwanza, inaongoza goli 5 kocha wao aka amua kuwapumzisha wachezajiwake 4 muhimu wasipate majeraha ndipo simba ilipo pata nafuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa waliridhika kipindi cha pili wamecheza kama wanafanya mazoezi hakuna cha mabadiliko wala nn

Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo timu ina majeruhi 9 wa kikosi cha kwanza, inaongoza goli 5 kocha wao aka amua kuwapumzisha wachezajiwake 4 muhimu wasipate majeraha ndipo simba ilipo pata nafuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana marudio hapa kwa mchina mechi ijayo wanakuja na kikosi kamili. Kocha wa al-ahly ana roho mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…