makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,171
- 3,461
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa waliridhika kipindi cha pili wamecheza kama wanafanya mazoezi hakuna cha mabadiliko wala nnUnaweza kuniambia kwann hakukuwa na goli hata moja kupindi cha pili.
Mabadiliko ya mwalimu yamesaidia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajifariji kubali umefungwa basiHamna goli au likiwepo ni moja na sio zaidi na anaweza kulipata Simba.
Tactically mechi ilishaisha by HT, vyura mlijua Ahly watarudi na tempo ile ile ya first half wakati mecho tayari ilishaisha. Ndio maana wengi mlianza kutabiri nane mara tisa ila mbinu za soka hewa kabisa hamzijui [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Iyo timu ina majeruhi 9 wa kikosi cha kwanza, inaongoza goli 5 kocha wao aka amua kuwapumzisha wachezajiwake 4 muhimu wasipate majeraha ndipo simba ilipo pata nafuu.Unaweza kuniambia kwann hakukuwa na goli hata moja kupindi cha pili.
Mabadiliko ya mwalimu yamesaidia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufungwa kufungwa tu haijalishi.Kipindi hicho yanga ilikua maskini, kwa simba hii ya kikosi cha bei mbaya na kipana mnakula hamsa kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo timu ina majeruhi 9 wa kikosi cha kwanza, inaongoza goli 5 kocha wao aka amua kuwapumzisha wachezajiwake 4 muhimu wasipate majeraha ndipo simba ilipo pata nafuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini cha ajabu...wanakula tano wakina arsenal..barcelona akila simba cha ajabu kipiKipindi hicho yanga ilikua maskini, kwa simba hii ya kikosi cha bei mbaya na kipana mnakula hamsa kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa waliridhika kipindi cha pili wamecheza kama wanafanya mazoezi hakuna cha mabadiliko wala nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana marudio hapa kwa mchina mechi ijayo wanakuja na kikosi kamili. Kocha wa al-ahly ana roho mbaya sanaIyo timu ina majeruhi 9 wa kikosi cha kwanza, inaongoza goli 5 kocha wao aka amua kuwapumzisha wachezajiwake 4 muhimu wasipate majeraha ndipo simba ilipo pata nafuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa bila BAHANUZI kukosa ile penati tungewatoa waarabu hawaYanga ya Kimataifa ilikua vizuri kuliko simba sc kabisaa hilo halina ubishi
Mkuu hali ya kikosi kipana ipoje uko Misri?Simba Leo itaishtua Africa kwa ushindi mujarabu kabisa
Al Alhy 2 Simba 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata angefungwa moja tungefurahi tu, ila sasa hivi furaha ni kubwa zaidi sababu mmekula khamsa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mlitarajia Simba afungwe 10 mfurahi sana.
Labda mkaroge tu kama kawaida yenu, kwa mpira gani sasa mlionao hadi mjitape,Hahaha.. Mkuu siwatishi ila ndo ukweli.. Samahani kwakuvujisha siri mapema.
Vipi herì yako imeisadia sana timuKila la heri Simba SC.
Kwa mchina simba anapigwa bila shaka.Inaonekana marudio hapa kwa mchina mechi ijayo wanakuja na kikosi kamili. Kocha wa al-ahly ana roho mbaya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sifa manara alizokua anatoa mi niliona Barcelona kwa simba cha mtoto, lkn hao aseno na barca hawajahi kula 10 mechi 2Nini cha ajabu...wanakula tano wakina arsenal..barcelona akila simba cha ajabu kipi
Yanga ina rekodi ya bao 9 na timu ya morocco na Al ahary 6 nani katia aibuYapigwa 5-0
Huu ni utundulisu uliotukaka.
Aibu tupu.