Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Nimekuelewa, ligi yetu bado sana na aina ya wachezaji wa Tanzania bado sana viwango vyao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tarehe 12 Feb mnacheza nao tena ,kwa mchina hapo mwaka huu kazi mnayo .Alafu nasikia wachezaji wao 9 wa kikosi cha kwanza hawakuwaanzisha leo,sasa najiuliza wangeanza sijui ingekuwaje au labda leo kidogo walipatwa na huruma maana sijamuona beki yao Kolibaly.
 
Hatua tuliofika ni kutokufungwa Goli kumi,upo hapo mkuu
Tulia hivyo hivyo dawa iingie jichoni.

Sent from Gamboshi air line
Mimi nilijua namuuliza mtu anayejua lolote kuhusu soka kumbe walewale tu, Ila hongereni kwa hatua hiyo pekee mnayojivunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuna timu hapa, timu zinajipanga mwaka hadi mwaka sisi tunaokota wachezaji wa bure tunasajili.
Timu zetu zitabaki kuwa bora hapa bongo kama hatutaweka nguvu kubwa kwenye usajili.
 
Kwa sifa manara alizokua anatoa mi niliona Barcelona kwa simba cha mtoto, lkn hao aseno na barca hawajahi kula 10 mechi 2

Sent using Jamii Forums mobile app
We ulitaka manara atoe sifa gani..ulitaka aseme simba ni dhaifu....arsenal na barcelona wamewahi fungwa ngapi nyingi katika mechi mbili????...alafu nyi jiandaeni na mechi zenu kesho mnacheza na kina alikiba...huku hakuwahusu mnamiaka ishirini mmeishia kukuona kwenye tv😂😂😂😂
 
Nanyie kesho mnacheza na kina alikiba...jiandaeni na mechi zenu hili kombe la africa linawahusu nini wakati mnamiaka 20 mnalisikia tu kwenye radio
 
5G First edition, author as vita.
5G Second edition, author al-ahly.

Ushauri wangu kwa simba hawa authors wanaoanzia na a si watu wazuri kwao mdudu simba wanamuona kama kuku rost😂😂😂😂
 
KWA HIYO UNATAKA KUTUAMINISHA KUWA NA YANGA IMEFUNGWA LEO? HUU NI MCHEZO, NA SIMBA NDIO KAPIGWA 5 ZA PUA SASA UNALETA BRA BRA HAPA KWA KUBADILISHA MSIBA KUWA WA KITAIFA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…