Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Na kwa taarifa wachezaj tisa wa kikos cha kwanza wa al ahly hawakuwepo .walikua majeruhi..mechi ya marudiano watakuwepo taifa.........kwani mkirusha taulo uwanjani mtapungukiwa nini ?
 
Sisi kudundwa ndio zetu ila tuna kelele kama Chura😀
 
Simba hawana pumzi ya kuhimili mpira wa kasi.
Al-Ahly wangeweza kuifunga Simba hata goli kumi kama wangeamua kufanya hivyo.
Simba badala ya kujifunza mpira wa kasi mazoezini wao wanapoteza muda mwingi kujinyoosha kwenye vitaulo kama vile hawaendagi Jim.
Kocha wa Simba inaonekana hana uwezo wa kuongeza kasi ya wachezaji.
Simba jifunzeni mpira wa kasi na sio kila siku kutegemea mazoezi ya Viungo.
Mmegeuka kuwa Club ya Mazoezi ya Viungo na sio ya mpira tena.
Uwezo wa Aussen ndio umeishia hapo.






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo miaka sita mfululizo ambayo sisi hatujaonekana kwenye tv mlifika wapi..mmewahi kufika hii hatua aliyofika simba???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…