Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Yale mashindano ya viti maalumu....si mlishindwa huku ndo mana wakakupeleka kule kwenye viti maalumu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚...na najua unakumbuka vizuri baada ya mechi sita zote mliambulia pointi ngapi
Kwani wewe mwaka jana ulishiriki mashindano gani ya kimataifa?
 

Halafu wanabahati sana wachezaji muhim jana walikuwa majeruhi la sivyo balaa kubwa pale lingewakuta. Makonki master oili chafu hawajacheza RAMADHAN SOBHI, ISLAM MGHABER, WALID SOULIMAN, ABDALLAH EL SAID, ZAKARIYA MUUMIN. daah cjui ingekuwaje ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mnamaanisha Haji Manara kasoma tano? Au?
 
Mikia match 2 goli 10 tena zingekua 15 km wale al ahly wasingeleta uislam wao kwa kutotaka kuwaongeza zingine 5 kipindi cha pili,halafu wakiitwa underdog povu wanalolitoa si la nchi hii!
 
Amen
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wewe mwaka jana ulishiriki mashindano gani ya kimataifa?
Tulishiriki viti maalumu baada ya kutolewa huku alipo simba...ila pointi tulizozipata huku kwenye viti maalumu hatua ya makundi baada ya mechi sita zote mungu anajua๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kumbukumbu zako zinakudanganya...nambie ni mwaka gani Yanga kafanikiwa kuzitoa timu mbili mfululizo...mbona mwaka jana tu kanuni hizihizi ziliwashinda mkaishia kuangukia kule viti maalumu
We mwehu eeeh.. we unadhani pale alipotolewa na Al ahly alikuwa amepiga game ngapi?? Angalia 2014, 2016, 2017 pia angalia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Al Ahly is the second most successful club in the world in terms of number of international titles (24) behind Real Madrid (26)
 
KWA SASA SIMBA BADO SANA KUTAMBA BARANI AFRIKA MPAKA KUTWAA UBINGWA WA AFRIKA. WAPEWE MUDA WATAFANYA MAKUBWA ZAIDI. BARCA MNAYO IONA LEO IMEPITIA MENGI MAGUMU SANA.
SIMBA NI WAZURI NDANI YA ARDHI YA TANZANIA NA KWA WALE WOTE AMBAO WANAJIFUNZA SOKA LA USHINDANI! NILIPOANGALIA GAME YA JANA NILIGUNDUA KITU HIKI HAPA; SIMBA KUANZIA WACHEZAJI MPAKA BENCHI LA UFUNDI KWA 70% HAWANA APROACH YA KUKABILIANA NA TIMU KUBWA WANAPOKUWA UGENINI!

WAKATI SIMBA WANAITOA ZAMALEK PALE MJINI ALEXANDRIA WALIKUWA NA TWALIB HILAL, SIMBA WALIFANIKIWA KIRAHISI KWA SABABU TWALIB ANALIJUA SOKA LA AFRIKA YA KASKAZINI VIZURI KULIKO MZEE JAMES AGREY SIANG'A.

NASEMA SIMBA SIO TIMU YA KUBEZA KISA 5-0, AS ROMA KALAMBWA BAO 7 KWA 1 NA FIORENTINA. VIPI KUHUSU SIMBA? NI MPIRA TU JAMANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ