Mtandao wa Jumia wafunga biashara yake nchini Tanzania

Mtandao wa Jumia wafunga biashara yake nchini Tanzania

Hao wapuuzi sana.....picha wanayotumia na kitu uletewaco ni tofauti.....halafu wale waletaji hawajui hata namna customer care........nimewarudisha mara kibao ...waondoke tuu
 
Biashara ya Mtandao kwa Tanzania bado sana. Watanzania wanapenda wakione kitu
 
emanuel prim,
Mimi nliagiza tablet.. Kwenye specifications walisema ina betri ya 9000mh lakini ukweli ni kwamba hii betri kama imefika 1000 basi bahati,

Kwenye kamera walisema ina 8 mega lkin kwa jinsi ilivyo hata 2 itakuwa haijafika. Wale ni matapeli tu. Vitu wanavyo weka sivyo vilivyo.
 
[emoji17] wanachomoka mmoja mmoja, ameanza TALA watu wamekopa mipesa kibao kurudisha ikawa mtihani.
 
Naomba anaefuata kufungisha virago awe BETPAWA! wamekula hela zetu kwa kisingizio cha mtandao unasumbua m.amae
 
Hua nikisoma hivi nasikitika sana...

Unaanzishaje kitu kikubwa kama hiki then unakua na customer care mbovu, au walishiba mafanikio ya muda mfupi bila kulenga maono ya mbali...
 
Je una matumizi unahitaji kununua leo?
Usihangaike

Karibuni mshop bidhaa mbalimbali hapa

http://valumart.co.tz/ tutakuletea kila kitu mpaka mlangon kwako.
Ndan ya muda mfupi.

Karibu ununue bidhaa zako zoote. Hapa.

Free delivery.

Please share na marafiki
 
Biashara ya Mtandao kwa Tanzania bado sana. Watanzania wanapenda wakione kitu
Sio watanzania tu, if you think critically, customers love to feel something rather than seeing by eyes, so maybe unaweza kua na online shop and then mteja akitaka kuona ama kushika bidhaa basi ajue duka lako lipo wapi ili aje kuona bidhaa...pia nashangaa vijana wanafurahia na wakati ni opportunity hio ya kuangalia wapi walipokua wanakosea jumia na kutumia mwanya huo ku win
 
Dah, hawa jamaa nilikuwa nataka nianze kutumia huduma zao lakini kuna kitu kilinistua nikasita,nikawa tu mtazamaji wa ofa zao tu
 
Mbona nimeambiwa hata Rwanda walishasepa kitambo mbona hapo imetajwa kuwa bado wapo?
 
Hii nimeiona jana nikashangaa sana na sikuelewa kabisa kwanini wamebadilisha muonekano wao hii ni hatari
Screenshot_20191128-122901.jpeg
 
SIO MATAPELI NIMESHAWAHI KUNUNUA VITU KWAO ZAIDI YA MARA MOJA.AFU UNALIPA SIKU MZIGO UNAPOKUFIKIA NA UNAPORIDHIKA NAO
 
Hata kwenye Google play store haipo ya tz
 
emanuel prim,
Mimi nilinunua bidhaa ya 90,000/ wakaniletes feki ya 25'000/
Nikawafuata kibabe wakanipa mzigo oh!
Kuna siku pia nikapigiwa simu kutokea Mwanza kuwa printa niliyoagiza imewasili nikachukue.... Nikawambia mimi sijawahi agiza printa ,na hata Mwanza sipajui!
Huduma ile hapa Tz iliwashinda!
 
Back
Top Bottom