Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MkuuAhueni ya maisha inatokana na rasilimali na matumizi mazuri ya rasilimali,haitokani na imani
QURAN ILIANDIKWA NA WALEVI NA WANYWAJI POMBE NA HAO WALEVI WALIKUWA WAMEKALILI QUR'AN HUKU WAKIWA WAMELEWA CHAKALI NA WENGINE WALIKUFA KWA ULEVI WAANDISHI WA MUHAMMADMnacho nifurahisha Wakristo hamjengi hoja wala kukosoa mnarusha tu maneno kisha mnashika njia,yaani mnakuwa kama fisi mwenye njaa anapo muona Simba na kitoweo.
Wakristo kwenye suala la dini mlinyimwa maarifa na matumizi ya akili. Yaani mnapelekwa pelekwa sana, hamuhoji, hamuhakiki mambo. Huwa nawaambia kila siku, laiti kama mngekuwa mnahoji aisee, asingebaki hata mmoja katika Ukristo.
Kijana watu hawashughuliki na Ukristo sababu hauna athari angalia leo katika dunia hii, Uislamu ndiyo unapigwa vita kwa namna yoyote kuanzia propaganda na mfano wa hayo. Sababu Uislamu umekamilika na una misingi imara, Ukristo na Uyahudi watu hawashughuliki nao sababu dini hizi mbili ziliasi mafundisho ya mitume tangu zamani.
Ukitaka kuamini hilo, leo hii angalia tu matumizi ya neno "Ugaidi" ukiangalia tamko hili maana yake katika kamusi, haifungamani na dini, na matendo ya magaidi hufanywa na waislamu na waislamu na wasio kuwa waislamu, lakini ukiangalia na kusoma katika vyombo vya habari tamko hili huwagusa Waislamu tu.
Shida yenu ni ile ile hamsomi mambo na kuyachunguza.
NIMEGUNDUA KUWA WANAOMCHUKIA PAULO NA YESU NI KWA SABABU SHETANI NAYE NI MWISLAMKijana watu hawashughuliki na Ukristo sababu hauna athari angalia leo katika dunia hii, Uislamu ndiyo unapigwa vita kwa namna yoyote kuanzia propaganda na mfano wa hayo. Sababu Uislamu umekamilika na una misingi imara, Ukristo na Uyahudi watu hawashughuliki nao sababu dini hizi mbili ziliasi mafundisho ya mitume tangu zamani.
Ukitaka kuamini hilo, leo hii angalia tu matumizi ya neno "Ugaidi" ukiangalia tamko hili maana yake katika kamusi, haifungamani na dini, na matendo ya magaidi hufanywa na waislamu na waislamu na wasio kuwa waislamu, lakini ukiangalia na kusoma katika vyombo vya habari tamko hili huwagusa Waislamu tu.
Shida yenu ni ile ile hamsomi mambo na kuyachunguza.
Kwa hiyo hofu yao ni kuenea kwa Uislam au? Na kama ni hivyo wanaogopa nini ?Nchi nyimgine zimepiga marufuku wahamiaji kutoka nchi Africa kaskazini na Uarabuni. Mfano Italy imepiga marufuku kabisa wahamiaji waislam na Polisi wamepewa ruhusa ya kuzizamisha boti zao. Sababu ikiwa moja tu, Wakati Serikali ikiwasaidia kuwapa hifadhi wao wanawaza kueneza Uislamu.
Uingereza imebadili sheria kwa sasa wanahifadhiwa Rwanda.
Zimehakikiwa wapi, kijiweni au kwenye kahawa???Sipo tayari kupoteza muda kubishana na wewe, mimi nimeleta taarifa iliyohakikiwa nimemaliza. Kama unazani ni utani watume ndugu zako waislam waende Italy kama wahamiaji watakupa mrejesho kamili.
Hebu weka hizo sera tuzione za Italy zinasema hazitaki wahamiaji waisilamu au pia hizi zimehakikiwa kijiweni ?????Ndiyo maana nchi nyingine Ulaya zikiongozwa na Italy zimeshtuka na kutunga sera mpya za uhamiaji dhidi ya Muslims.
Ukiristo haupingui kwa kuongezeka watu wa Imani nyingineMkuu
Hapa tunajadili nini.
Labda ni dadavue
Nimeandika middle east,na afrika magharibu kuna waislamu wengi kuliko wakristo na wengi maeneo hayo huzamia ulaya na america kwenda kutafuta pesa sasa unafikiri wakifika huko makundi kwa makundi unadhani ukristo utaongezea au utapungua
[emoji2] Polygamy inasababisha birth rate ya waislamu iwe juu na ndo mnavoongezeka sio kwamba watu wa dini zingine wanahamia kwa wingi. Halafu hatuwezi kuamini hivo vitabu vyenu sababu Sahih al- Bukhari 3175 iko wazi Aisha anahadithia kuwa mtume alirogwa akaanza kuwaza kwamba kafanya mambo ambayo hata hakufanya. Tunawezaje kuiamini akili iliorogwaIkiwa imeshapita mwaka mmoja sasa tangu Kanisa kubwa la Byzantine empire liitwalo HAGIA SOPHIA kubadili muelekeo na kuwa Msikiti huko Instanbul, Quora inawezekana ikawa ni mtandao unao tegemewa sana katika harakati za kiimani,
Quora ni tovuti ya kijamii ya maswali na majibu iliyopo Mountain View, California. Ilianzishwa miaka ya 2010. Watumiaji wa mtandao huu wanaweza kushirikiana kwa kuhariri maswali na kutoa maoni kuhusu majibu ambayo yamewasilishwa na watumiaji wengine. Waislamu wa magharibi wametumia mtandao huu kuusambaza sana uislamu kwa kutoa majibu yanayo kinahisha nafsi za wengi.
Miongoni mwa maswali na majibu kutoka Quora.
SWALI
Je, ni sababu gani ya kawaida inayopeleka Wakristo wengi kubadili dini na kuwa waislamu kutoka Ukristo?
MAJIBU NI KWAMBA
-Uislamu unajibu maswali yote kwa uwazi, kila kitu katika uislamu kina sababu ya kimantiki.
- Uislamu unajibu maswali yote kuhusu yanayoonekana na yasiyoonekana.
- Qur'an haina ukinzani hata mmoja, tofauti na maandiko mengine.
- Kutamalaki kwa amani, utulivu na furaha ya ndani.
- Haki : utawajibika kwa dhambi zako mwenyewe, hakuna mtu anayeweza kuhesabiwa kwa dhambi za mwingine.
- Madhambi yote yamesamehewa, isipokuwa shirki. Anayesamehe dhambi ni MUNGU na wala sio nabii wala Mwanaadamu
- Hulinda wanawake na kuwaunga mkono na kuwanyanyua na kuwaheshimisha
- Katika uislamu Amri zote za Mwenyezi Mungu, ni kwa manufaa ya mwanadamu.
- Muumba, ni wa kipekee, anajitosheleza, ni mmoja na mkamilifu, Hana sifa za kiume wala za kike, hakuzaa wala hakuzaliwa, hana mfano na kitu chochote kile.
- Katika uislamu Hakuna wapatanishi au watangulizi, kati yako na Muumba wako, wakati wowote unapomhitaji Muumba wako, unaweza kuwasiliana Naye, Tofauti na dini zingine hadi ukaungame.
Nadhani haya ni baadhi ya mambo makuu, yaliyoathiri kusilimu kwa wazungu wengi kuacha ukristo na kuingia uislamu.
View attachment 2230031
Nchi nyimgine zimepiga marufuku wahamiaji kutoka nchi Africa kaskazini na Uarabuni. Mfano Italy imepiga marufuku kabisa wahamiaji waislam na Polisi wamepewa ruhusa ya kuzizamisha boti zao. Sababu ikiwa moja tu, Wakati Serikali ikiwasaidia kuwapa hifadhi wao wanawaza kueneza Uislamu.
Uingereza imebadili sheria kwa sasa wanahifadhiwa Rwanda.
Hakuna aya zilizo andikwa masahaba wakiwa wamelewa ,labda utuambie aya gani ziliandikwa wakati masahaba wakiwa wamelewa ,pia hio sura 114 sijajua inahusiana vp na mdai yakoQURAN ILIANDIKWA NA WALEVI NA WANYWAJI POMBE NA HAO WALEVI WALIKUWA WAMEKALILI QUR'AN HUKU WAKIWA WAMELEWA CHAKALI NA WENGINE WALIKUFA KWA ULEVI WAANDISHI WA MUHAMMAD.
Swala la ulevi ulikuwa ni moja ya maasi makuu na hata baada ya kuja Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayh wa aalihi wa sallam) , baadhi ya Maswahba walikuwa bado wakilewa. Hii ni kwa sababu ilikuwa ni ada na desturi zao walizozirithi, kama zilivyo desturi nyinginezo walizokuwanazo mfano kuwaua watoto wa kike, kuwanyima urithi wanawake n.k..SWALI AYA ZIPI ZILIANDIKWA MASWAHABA WAKIWA HAWAJALEWA POMBE KATIKA SURA 114 ZA QUR-AN YENU?
Mwisho ukija kijibu comment yangu naomba uje na majibu ya hizi hoja ulizo letaQuran 5:93. Si dhambi juu ya walio amini na wakatenda mema kwa walivyo vila (zamani) maadamu wakichamngu na wakiamini na wakitenda mema, kisha wakachamngu, na wakaamini, kisha wakachamngu na wakafanya mazuri. Na Mwenyezi Mungu huwapenda wafanyao mazuri
Thibitisha Mungu yupo, thibitisha roho ipo.Mkuu Kiranga hujasoma aya ya pili? Ngoja nikuwekee hapa:
Ni imani ya ukristo tu ambayo imejibu haya maswali katika namna ambayo inaushibisha mwili, nafsi na roho. Kila wakati watu wa imani zote wanapoletewa mafundisho ya ufalme wa mbinguni wanajua ndani ya nafsi zao kwamba ni kweli yenye uzima wa milele hata kama hawana uthibitisho wa kimazingira.
Hapana polygamy haina impact kwenye kuongezeka idadi ya watu, nchi zinazoongoza Kwa idadi kubwa ya watu ni china na India na Wala sio za middle east kwanini? Hata Africa ingekuwa ishu ya polygamy basi Tunisia,Morocco,Sudan zingeongoza, hii mikoa ya pwani Kwa hapa Tanzania ndio inayoongoza Kwa waislam lakini nenda Lindi ni Napoli tu watu hamna population inazidi pungua, na kama Iko kingekuwa kigezo basi mtwara ingekuwa na population twice ya Kilimanjaro au mara ambapo waislam unawatafuta[emoji2] Polygamy inasababisha birth rate ya waislamu iwe juu na ndo mnavoongezeka sio kwamba watu wa dini zingine wanahamia kwa wingi. Halafu hatuwezi kuamini hivo vitabu vyenu sababu Sahih al- Bukhari 3175 iko wazi Aisha anahadithia kuwa mtume alirogwa akaanza kuwaza kwamba kafanya mambo ambayo hata hakufanya. Tunawezaje kuiamini akili iliorogwa
Sijamaliza kusoma post yako sababu naona unadanganya. Hapo tu kwenye wanawake na haki umesema uongo kabisa. Nani asiyejua vurugu na mauaji yanayotokea duniani sababu ya imani ya kiislamu? Nani asiyejua wanawake wanavyonyanyasika na kubaguliwa katika uislamu?Ikiwa imeshapita mwaka mmoja sasa tangu Kanisa kubwa la Byzantine empire liitwalo HAGIA SOPHIA kubadili muelekeo na kuwa Msikiti huko Instanbul, Quora inawezekana ikawa ni mtandao unao tegemewa sana katika harakati za kiimani,
Quora ni tovuti ya kijamii ya maswali na majibu iliyopo Mountain View, California. Ilianzishwa miaka ya 2010. Watumiaji wa mtandao huu wanaweza kushirikiana kwa kuhariri maswali na kutoa maoni kuhusu majibu ambayo yamewasilishwa na watumiaji wengine. Waislamu wa magharibi wametumia mtandao huu kuusambaza sana uislamu kwa kutoa majibu yanayo kinahisha nafsi za wengi.
Miongoni mwa maswali na majibu kutoka Quora.
SWALI
Je, ni sababu gani ya kawaida inayopeleka Wakristo wengi kubadili dini na kuwa waislamu kutoka Ukristo?
MAJIBU NI KWAMBA
-Uislamu unajibu maswali yote kwa uwazi, kila kitu katika uislamu kina sababu ya kimantiki.
- Uislamu unajibu maswali yote kuhusu yanayoonekana na yasiyoonekana.
- Qur'an haina ukinzani hata mmoja, tofauti na maandiko mengine.
- Kutamalaki kwa amani, utulivu na furaha ya ndani.
- Haki : utawajibika kwa dhambi zako mwenyewe, hakuna mtu anayeweza kuhesabiwa kwa dhambi za mwingine.
- Madhambi yote yamesamehewa, isipokuwa shirki. Anayesamehe dhambi ni MUNGU na wala sio nabii wala Mwanaadamu
- Hulinda wanawake na kuwaunga mkono na kuwanyanyua na kuwaheshimisha
- Katika uislamu Amri zote za Mwenyezi Mungu, ni kwa manufaa ya mwanadamu.
- Muumba, ni wa kipekee, anajitosheleza, ni mmoja na mkamilifu, Hana sifa za kiume wala za kike, hakuzaa wala hakuzaliwa, hana mfano na kitu chochote kile.
- Katika uislamu Hakuna wapatanishi au watangulizi, kati yako na Muumba wako, wakati wowote unapomhitaji Muumba wako, unaweza kuwasiliana Naye, Tofauti na dini zingine hadi ukaungame.
Nadhani haya ni baadhi ya mambo makuu, yaliyoathiri kusilimu kwa wazungu wengi kuacha ukristo na kuingia uislamu.
View attachment 2230031
Umeandika pumba tupuKimsingi imani nyingi zilizoanzishwa na wanadamu hapa duniani ziko straight and systematic. Zimetengenezwa kwa logic katika kujaribu kujibu maswali magumu kama chanzo cha uhai, kusudi la uhai, changamoto za hapa duniani na kinachotokea baada ya kifo. etc
Ni imani ya ukristo tu ambayo imejibu haya maswali katika namna ambayo inaushibisha mwili, nafsi na roho. Kila wakati watu wa imani zote wanapoletewa mafundisho ya ufalme wa mbinguni wanajua ndani ya nafsi zao kwamba ni kweli yenye uzima wa milele hata kama hawana uthibitisho wa kimazingira.
Baada ya hapo unabaki uamuzi wa mtu mwenyewe, afuate sauti ya Mungu katika roho yake au sauti ya logic katika akili yake. Lakini siku moja inakuja, asubuhi iliyo njema, mwokozi ataonekana katika anga na kuwachukua wale waliomwamini yeye. Ni heri leo ukiisikia sauti yake usiufanye moyo wako kuwa mgumu.
Sijapanga kukuthibitishia. Mimi ninaamini na nimethibitisha kwamba Mungu yupo na roho ipo, hilo linanitosha.Thibitisha Mungu yupo, thibitisha roho ipo.
Thibitisha habari za kuwapo Mungu na roho si hadithi za kutungwa na watu tu.
Hujathibitisha lolote kati ya hayo.
Zichukue ukalishie mifugo yako.Umeandika pumba tupu
Kijana utaendelea kuonekana kituko, hizo hadithi hazionyeshi ya kuwa watu hawaingii katika Uislamu au hawaukubali au hawashawishiki na Uislamu.Mwisho WA siku Muhammad kasema
Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159
-“Faith will shrink back to Medina as a snake shrinks back to its hole.” (Bukhari and Muslim.) Mishkat al-Masabih 160
“Islam began as something strange and will go back to being strange, so glad tidings to the strangers.’”Sunan Ibn Majah 3986