Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Ndiyo siyo wewe tuWakuu naona network ya mtandao wa voda inasumbua hivi ni kwangu tu au na nyie mnapata shida kama mimi. Ni kama network haisomi na nina line ya airtel nikikaribu mpigia mtu wa voda hapatikani pia.
Asante kwa taarifaTupo msibani hapa Beirut
pamoja na makatapela na mabubundaurudi na nguniani na mchele
makatapela ndo yakojepamoja na makatapela na mabubunda
Wakuu naona network ya mtandao wa voda inasumbua hivi ni kwangu tu au na nyie mnapata shida kama mimi. Ni kama network haisomi na nina line ya airtel nikikaribu mpigia mtu wa voda hapatikani pia.
Dah,Wakuu naona network ya mtandao wa voda inasumbua hivi ni kwangu tu au na nyie mnapata shida kama mimi. Ni kama network haisomi na nina line ya airtel nikikaribu mpigia mtu wa voda hapatikani pia.
Ulijua kakuzimia nn??Dah,
Mtoa mada kuna simu umeokoa hapa, maana nilikuwa naanza kuitilia mashaka kumbe tatizo ni voda.
Halafu Voda hawatoi taarifa yoyote!!!
Nipo Tanga huko Pangani na kwenyewe ilikua hivyoNi kweli Mimi nipo Njiani nasafiri Nikiwa Iringa ruaha niliona Hilo nikahisi labda mtandao usasumbua Kwa Maeneo hayo, Njiani nzima Mpaka nafika hapa Mbeya ni hivyo hivyo, mpk nikahisi labda simu ndiyo yenye shida
Matatizo yapo kwenye simu zenu hizo za kichinaJaribu kupiga ndonitajua au kutuna sms. Mimi network imejaa ila nikijaribu kupga ndo inaleta no signal ile simu inaonyesha mnara uko full
Diddy kafanya yake π π πYeah Vodacom inasumbua ,hata tigo na yenyewe jau ,kuanzia 1900 mpaka 2100 huwa kunakuwa na shida sana kwenye network ,huu muda ni busy hour.