Mtandao wa vodacom una shida au

Mtandao wa vodacom una shida au

Soma hapa
IMG-20240928-WA0029.jpg
 
Hata huku nyanda za juu kusini hamna network upande wa kupiga na kutuma sms ila intaneti inafanya kazi.

Kwa mtandao kama Voda kutofanya kazi zaidi ya dk 30 nikusababisha hasara ya mabilioni kwa wateja wake sema ndio hivyo Tz wote ni waoga ila inabidi kuwaburuza mahakamani walipe fidia wajifunze.

Nimeshindwa kutoa pesa kwa ajili ya kulipia huduma Voda imenifanya kuonekana mbabaishaji kimsingi nimechukia sana.
Mkuu hio sentensi ya mwisho itakupa mamilioni ukienda mahakamani.
Kiufupi umevunjiwa heshima
 
Mtandao umekata kabisaaaaa,..imagine ndo upo bar unategemea ulipe kwa lipa namba...hapo ndo utajua ujui
Mkuu hiyo ni fursa .
We nenda baa piga chupa zako mbili sema nalipa kwa mpesa wakutukane. Then j3 mcheki kibatala useme voda wamesababisha heshima yangu imeshuka nahitaji 100 kama fidia.
 
Wamenikosesha game leo.. yaan mtoto alikuw kashasetika vizuri... network ikaja kuleta ngolowanje..
Screenshot_20240928_222929.jpg
 
Vodacom watapaswa watulipe mabando yetu... Siyo kwa kutukwamisha huku.... Wamenikwamisha sana leo....
 
Huenda kuna kampuni inaenda kuchfauliwa wanataka wajitoe mapema kabla mambo hayajaharibika.
 
Dah mm nilikuwa na dili la milioni 600, ila Voda wamenikwamisha Sasa watasababisha nikose hii pesa mana mteja atasepa 😎
 
Back
Top Bottom