Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Mali safi ndio zenye kisonono sasaMali safi hiyo.. nimeikosa leo sijui lini itatiki tenaš„²
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mali safi ndio zenye kisonono sasaMali safi hiyo.. nimeikosa leo sijui lini itatiki tenaš„²
Ah wap.. hii uhakika Mzee š High quality... TBS certified.. ISO certified.........Mali safi ndio zenye kisonono sasa
Huyo hawajamvua viatu kweli maana wahudumu nao ni changamoto kweli.wengine wako bar wanatakiwa kulipa kwa lipa namba na cash hawana nimeshuhudia ugomvi mkubwa hapa muda huu
Wizo mfyuuu š¹š¹Kuna danga langu liliniahidi kunitumia laki moja lakini MPESA imegoma.
Danga lenyewe la Congo jamani, asa itakuwaje halafu limeshaondoka! Uwiiiihhh! Nimebubujikwa na machozi!
Cc: Lucas Mwashambwa Lamomy Mbaga Jr cocastic
Rostam aliuza share zake zote Vodacom. Na ndiyo akainunua Tigo na Zantel. Kipindi kile serikali ililazimisha vidacom kuza share zake kwa wananchi na Rodtam.kama mwanahisa alikataa.Ubunifu wa Rostam Azizi. anaona mnataka kuukimbia mtandao wa Tigo kwasababu ya Lissu. Kwakuwa mitandao yote ni ya kwake anafanya hivyo makusudi ili muone na Voda nako ni kimeo mbali huko huko tigo
Ikifika jioni tuMtandao ushakuwa wa kipididy huu
Kwakweli km hapa nimeswitch kwenye line nyingineIkifika jioni tu
It's either simu hazipatikani au Mpesa haifanyi kazi.
Miamala mtu unafanya mapema.
Na mawasiliano unatumia mitandao mingine.
Kwenye tech glitch ni kawaidaNa leo saa hizi kuna tatizo voda. Naona voda inaaza kuanguka.