Mtandao wa vodacom una shida au

Mtandao wa vodacom una shida au

Ubunifu wa Rostam Azizi. anaona mnataka kuukimbia mtandao wa Tigo kwasababu ya Lissu. Kwakuwa mitandao yote ni ya kwake anafanya hivyo makusudi ili muone na Voda nako ni kimeo mbali huko huko tigo
Rostam aliuza share zake zote Vodacom. Na ndiyo akainunua Tigo na Zantel. Kipindi kile serikali ililazimisha vidacom kuza share zake kwa wananchi na Rodtam.kama mwanahisa alikataa.
 
Kwa
Ikifika jioni tu

It's either simu hazipatikani au Mpesa haifanyi kazi.

Miamala mtu unafanya mapema.

Na mawasiliano unatumia mitandao mingine.
Kwakweli km hapa nimeswitch kwenye line nyingine
 
leo jioni imekuwa ya shida mnoo @Vodacom jitafakarini
 
Hawataki kukubali ila voda amna kitu siku hizi .hata saivi ina sumbua
 

Attachments

  • Screenshot_20241026_192103_Messages.jpg
    Screenshot_20241026_192103_Messages.jpg
    468.5 KB · Views: 2
Dah na kesho watawapa dakika 5 za bure za mitandao yote. Na itaisha hivyo
 
Back
Top Bottom