Mtandao wa X haufanyi kazi hata ukitumia VPN

Pia watu wengi wanatumia 1.1.1.1 app, kama vpn, lakini kazi yake kuu ni kuongeza speed ya internet kupitia Cloudflare lakini haifichi location yako kama VPN nyingine.
 
Pia watu wengi wanatumia 1.1.1.1 app, kama vpn, lakini kazi yake kuu ni kuongeza speed ya internet kupitia Cloudflare lakini haifichi location yako kama VPN nyingine.
Exactly 💯
 
Mimi niko nje ya Tanzania ila na huku haufanyi kazi.
Mimi niko kuzimu, huku X pia inazingua... Huyu mama Samia ameanza kutufanyia figusu hata sisi ambao hatupo duniani..
 
Nimebadili VPN lakini hakuna kitu.
Kuna muda kwenye saa 4 hivi mitandao ilikuwa hazifanyi kazi. Hata ukipiga simu hazitoki. Gwajima aliwaambia ni ngumu kutawala nchi iliyogawanyika vipande vipande ,hawakumsikiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…