Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Inasikitisha sana, Yaan Mtanganyika , anaumizwa na Rostam Kwasababu ya Masilahi ya ROSTAM na Genge lake !!.
Na wewe pia si ni mtanganyika? Au sio? Kama ndio usitukane ndugu zako, sema sisi Watanganyika.Watanganyika ama ni wapole sana au ni wajinga sana nashindwa kuwaelewa!
Kuna watu hawajatimiza wajibu wao inapobidiInasikitisha sana, Yaan Mtanganyika , anaumizwa na Rostam Kwasababu ya Masilahi ya ROSTAM na Genge lake !!.
"Enyi Wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaloga ?", Gal 3:1Inasikitisha sana, Yaan Mtanganyika , anaumizwa na Rostam Kwasababu ya Masilahi ya ROSTAM na Genge lake !!.
Duuh.....Sasa itakuwaje
Mpira uko mikononi mwa CCM wamlinde Mtu au Chama kifeInasikitisha sana, Yaan Mtanganyika , anaumizwa na Rostam Kwasababu ya Masilahi ya ROSTAM na Genge lake !!.
Rafiki yangu mimi kwa nafasi yangu nimepinga juu ya anayotendewa mh. Lissu, watanganyika ninao wazungumzia ni wale wenye sauti zao zikisikika haki inaharakishwa wamekubali kuwa mabubu! Mpaka sasa Viongozi na watu mashuhuri waliopaza sauti zao juu ya mateso kwa Lissu tofauti na wanachadema ni wachache wamekaa kimya kama hawaoni! Ukimtoa Gwajima, Kitima, Warioba, Butiku, POLEPOLE hata viongozi wengine wa dini wanatamani Lissu akatwe kichwa wansema waziwazi tena kwenye matukio ya kidini! Na sio kwamba walio kaa kimya wako salama la hasha, ni vile sio wao wanafanyiwa madhira hayo!Na wewe pia si ni mtanganyika? Au sio? Kama ndio usitukane ndugu zako, sema sisi Watanganyika.
uropkaji ni kitu mbaya sana aise dah 🐒Inasikitisha sana, Yaan Mtanganyika , anaumizwa na Rostam Kwasababu ya Masilahi ya ROSTAM na Genge lake !!.
TAL naamini ataachiwa. Ni suala la muda tu. Kama alitoka hospitalini pamoja na marisasi yote yale hata gerezani atatoka tu.Rafiki yangu mimi kwa nafasi yangu nimepinga juu ya anayotendewa mh. Lissu, watanganyika ninao wazungumzia ni wale wenye sauti zao zikisikika haki inaharakishwa wamekubali kuwa mabubu! Mpaka sasa Viongozi na watu mashuhuri waliopaza sauti zao juu ya mateso kwa Lissu tofauti na wanachadema ni wachache wamekaa kimya kama hawaoni! Ukimtoa Gwajima, Kitima, Warioba, Butiku, POLEPOLE hata viongozi wengine wa dini wanatamani Lissu akatwe kichwa wansema waziwazi tena kwenye matukio ya kidini! Na sio kwamba walio kaa kimya wako salama la hasha, ni vile sio wao wanafanyiwa madhira hayo!
Hivi alimtafuta au alifanya shingo Ngumu?
Kabisa msemakweli! Mungu akubariki sana!Nchi iko mikononi mwa wahuni!
Ohooooooo!!!