Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Mtangazaji nguli wa show za jioni kutoka Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gadner G. Habash amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Pressure (Shinikizo la Damu).

Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa mwenyewe kupitia mahojiano yake na kipindi cha XXL, Kaptein amesema alianza kujisikia vibaya wiki chache zilizopita baadaye akapelekwa Hospitali ambako aligundulika kuwa na shida ambayo ilisababisha alazwe JKCI.

 
mnapend sana kumdharau janabi the profesaaaa
20240403_141708.jpg
 
Huyu na Prof Jay walikuwa watu wa gambe kali sana

Nguvu za ujana wengi zinawadanganya ukiwashauri kuhusu pombe kali na athari zake wanakuona mshamba tu

Ila umri unaposogea kimtindo tunaanza kuelewana

I wish him a speedy recovery
kuna watu wanakula gambe ila hadi leo wako sawa sana tena wengi kuliko wanao pata madhara
 
Back
Top Bottom