Nimependa hoja zqko una akili sana🙏Nimekuuliza dada zako hapo nyumbani ni wanawake bora? Unajua usinyooshee tu watoto wa wengine vidole, anzia kwanza hapo ulipokulia kama kunafaa kwa wengine kubisha hodi, kama kunafaa basi lazima utapata anayekufaa sababu na wewe utakuwa unajua unatakiwa uwe mtu wa aina gani kustahili mwanamke anayefaa kama dada zako.