Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Sina dadaNimekuuliza dada zako hapo nyumbani ni wanawake bora? Unajua usinyooshee tu watoto wa wengine vidole, anzia kwanza hapo ulipokulia kama kunafaa kwa wengine kubisha hodi, kama kunafaa basi lazima utapata anayekufaa sababu na wewe utakuwa unajua unatakiwa uwe mtu wa aina gani kustahili mwanamke anayefaa kama dada zako.