Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

Mke. Amekosa mke. Ukikosa mke inabidi wengine wakae kujadili unasaidikaje.

By the way, bora wazee wale wasio na wake sababu wamefiwa, wale zalisha acha mtoto alelewe na mama, hata hiyo connection hana kuwa watoto watapatwa uchungu na mzee wao. Hali ni mbaya zaidi kwenye hayo mazingira, mpaka mama yao apige kuwakumbusha baba yenu yupo hospitali na hapo yupo kwa mwanaume mwingine alishaolewa ndo hali inakuwa ngumu zaidi.
Ninachomaanisha anakosa huduma gani kwenye kuuguzwa?

Naona maelezo mengi jibu silioni
 
Endelea
Kupambania Kama jina lako 😊

Mungu akuepushe na mabalaa Ila siku ya kikupata utakumbuka hizi comment hata kimoyo moyo
Kuna scenario baba mmoja alizalisha mwanamke akamtelekeza. Sasa kama kawaida watu wabishi wakachukua mama na watoto wakaweka ndani, miaka ikapita.

Magonjwa yakamjia yule baba. Hana mke, ana watoto wasio mjua vizuri, ndugu ni wa kuunga unga, pesa ya kumlipa nesi hana, ila MUNGU si athmani, anatokea jirani anamsaidia kidogo kidogo hivyo hivyo. Watu wanalaumu watoto ila hawahoji wakati mzee ana nguvu aliishije.
 
Endelea
Kupambania Kama jina lako 😊

Mungu akuepushe na mabalaa Ila siku ya kikupata utakumbuka hizi comment hata kimoyo moyo
Binadamu wema wapo katika familia, ukoo na marafiki wa kuwahudumia wanaume ambao hawajaoa wanapokuwa wagonjwa

Ni nyinyi tu na roho zenu mbaya mnampinga Mungu ambaye anataka tupendane nyakati za shida
 
Kwa mfano mke anatoa huduma kama zipi za kumuuguza mume wake akiwa mgonjwa? Taja hata 3 tu
Kusafisha tutako twako ukijinyea
Kukuvalisha
Kukupa dawa
Ukizidiwa kuchukua hatua za dharura
Kukupa kampani
Kukupa faraja za kupona haraka na mengine mengi.

Unajua Evelyn Salt alisema niachane na watoto hamuelewi, ila sina shughuli hapa kuna wageni nawasubiri ndo maana nakujibu nipoteze muda. Ningeshakupuuza maana ni mzito mnooooo kuelewa. Hahahaha.
 
Unajua @Evelyn Salt alisema niachane na watoto hamuelewi, ila sina shughuli hapa kuna wageni nawasubiri ndo maana nakujibu nipoteze muda. Ningeshakupuuza maana ni mzito mnooooo kuelewa. Hahahaha.
Hata mimi ni weekend niko nimejilaza kwa sofa hapa, nashukuru kwa kunisaidia ku-buy time baadaye nitoke niende kwenye mishe zangu binafsi
 
Binadamu wema wapo katika familia, ukoo na marafiki wa kuwahudumia wanaume ambao hawajaoa wanapokuwa wagonjwa
Ungekuwa na mke sahihi huo mzigo unaotaka ukoo wako waubebe ungewaepusha nao ili waendelee na majukumu yao badala ya kufanya majukumu ya mke wako.

Unadhani wazee waliosema tuoe walikuwa wapuuzi sana? Kama dini inaruhusu vuta wake hata wawili, jengea boma watunze wao na watoto wako. Kuachana kupo, ikitokea basi bahati mbaya ila mambo yakienda vizuri utazeeka kama raisi mwinyi.
 
Kusafisha tutako twako ukijinyea
Kukuvalisha
Kukupa dawa
Ukizidiwa kuchukua hatua za dharura
Kukupa kampani
Kukupa faraja za kupona haraka na mengine mengi.

Unajua Evelyn Salt alisema niachane na watoto hamuelewi, ila sina shughuli hapa kuna wageni nawasubiri ndo maana nakujibu nipoteze muda. Ningeshakupuuza maana ni mzito mnooooo kuelewa. Hahahaha.
Achana nao, wanadhani walivokua wakijinye* utotoni wanasafishwa na kuvalishwa na mama, wanajua na wakiugua watu wazima mama zao watawasafisha.....
 
Ungekuwa na mke sahihi huo mzigo unaotaka ukoo wako waubebe ungewaepusha nao ili waendelee na majukumu yao badala ya kufanya majukumu ya mke wako.

Unadhani wazee waliosema tuoe walikuwa wapuuzi sana? Kama dini inaruhusu vuta wake hata wawili, jengea boma watunze wao na watoto wako. Kuachana kupo, ikitokea basi bahati mbaya ila mambo yakienda vizuri utazeeka kama raisi mwinyi.
Usitumie nguvu nyingi sana. Kama haoni sababu acha asione....tunachomuombea ni Afya njema
 
Back
Top Bottom