Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Ninachomaanisha anakosa huduma gani kwenye kuuguzwa?Mke. Amekosa mke. Ukikosa mke inabidi wengine wakae kujadili unasaidikaje.
By the way, bora wazee wale wasio na wake sababu wamefiwa, wale zalisha acha mtoto alelewe na mama, hata hiyo connection hana kuwa watoto watapatwa uchungu na mzee wao. Hali ni mbaya zaidi kwenye hayo mazingira, mpaka mama yao apige kuwakumbusha baba yenu yupo hospitali na hapo yupo kwa mwanaume mwingine alishaolewa ndo hali inakuwa ngumu zaidi.
Naona maelezo mengi jibu silioni