Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

Nimekuuliza dada zako hapo nyumbani ni wanawake bora? Unajua usinyooshee tu watoto wa wengine vidole, anzia kwanza hapo ulipokulia kama kunafaa kwa wengine kubisha hodi, kama kunafaa basi lazima utapata anayekufaa sababu na wewe utakuwa unajua unatakiwa uwe mtu wa aina gani kustahili mwanamke anayefaa kama dada zako.
Sina dada
 
Wengi mnakomaa ni pombe, kuna watu wanakufa na BP na hawakuwahi hata kuonja pombe, maradhi kaumbiwa mnanadamu. Mambo ya kawaida.
 
Ukiwa na mke ambaye ni sahihi kuna mambo kama kuoga, kufutwa ukijisaidia, kubadilishwa nguo, faraja n.k, vitu ambavyo kama huna mke na huna pesa za kumlipa nesi itabidi avifanye either mama, ndugu au rafiki.

Binadamu sisi tunaviburi na wabishi tukiwa wazima tu ila kuna hali zikitukuta tunakuwa dhaifu, tunatia huruma.
Mi nadhani ushauri watu tutafute pesa sio mke.
 
Ni sawa pia.

Tafuta kile unachoona ni sahihi kulingana na mazingira yako.

Mfano kwangu mimi, ukiwafuta mke na watoto umenipa adhabu kubwa sana kwenye maisha yangu. Daah, haipendezi hata kuliwaza hilo.
Mke sio ndugu yako.
 
Mtangazaji nguli wa show za jioni kutoka Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gadner G. Habash amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Pressure (Shinikizo la Damu).

Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa mwenyewe kupitia mahojiano yake na kipindi cha XXL, Kaptein amesema alianza kujisikia vibaya wiki chache zilizopita baadaye akapelekwa Hospitali ambako aligundulika kuwa na shida ambayo ilisababisha alazwe JKCI.

R.I.P Captain...
 
Back
Top Bottom