Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

Mtangazaji nguli wa show za jioni kutoka Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gadner G. Habash amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Pressure (Shinikizo la Damu).

Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa mwenyewe kupitia mahojiano yake na kipindi cha XXL, Kapitein amesema alianza kujisikia vibaya wiki chache zilizopita baadaye akapelekwa Hospitali ambako aligundulika kuwa na shida ambayo ilisababisha alazwe JKCI.
Mgonjwa ni mlevi sana ....ila pole yake...... toka nimejua huyu wana kuanzia mida ya saa moja usiku sijawahi kumuona akiwa mzima
 
Huyu na Prof Jay walikuwa watu wa gambe kali sana

Nguvu za ujana wengi zinawadanganya ukiwashauri kuhusu pombe kali na athari zake wanakuona mshamba tu

Ila umri unaposogea kimtindo tunaanza kuelewana

I wish him a speedy recovery
Aisee hii inakuwa ni majuto. Unatamani husingeishi life style hiyo uko nyuma.
 
Tumpe pole na kumuombea uponyaji.Naona wengine mnaingilia maisha binafsi ya mtu bila kujua kua kila mtu anaweza kuumwa kwa namna yake iwe unafanya ayo ambayo unaona mwenzako anayofanya anakosea.Na kufa kuko pale pale ata uishi maisha ya namna gani.Pole sana captain.
 
Mtangazaji nguli wa show za jioni kutoka Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gadner G. Habash amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Pressure (Shinikizo la Damu).

Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa mwenyewe kupitia mahojiano yake na kipindi cha XXL, Kapitein amesema alianza kujisikia vibaya wiki chache zilizopita baadaye akapelekwa Hospitali ambako aligundulika kuwa na shida ambayo ilisababisha alazwe JKCI.
Mungu amsaidie apone yule x kutwa kuulizia yukoje bado anajikongoja dezee dozee mara viatu kachanganya vyombo ndiyo yupo hospital sasa hajikongoji tena!
 
Tumpe pole na kumuombea uponyaji.Naona wengine mnaingilia maisha binafsi ya mtu bila kujua kua kila mtu anaweza kuumwa kwa namna yake iwe unafanya ayo ambayo unaona mwenzako anayofanya anakosea.Na kufa kuko pale pale ata uishi maisha ya namna gani.Pole sana captain.
Ndio mana ya platform kila mtu ana uwanja mpana apa kwa iyo wacha kila mtu aongee mkúu
 
Back
Top Bottom