one b
JF-Expert Member
- Jun 30, 2017
- 1,483
- 3,727
Pombe inaweza kuwa sababu ya moyo...figo...ini nk lakin acheni kunywa madawa kiholela..mfano unakuta mtu ni H.I.V positive so inabid aanze dawa za A.R.V ,s na hiz dawa zinapelekea sana kuua figo....endapo mgonjwa atatumia kwa muda mrefu..sasa unakuta mtu anazitumia na bado anakunywa pombe kupita kiasi...kwanza pole yake maradhi ni ya kila mtu...wapo wanao kufa kwa ajali...wapo wanaopata ukilema...cha kushukuru tu kama una afya njema...Mshukuru tu Mungu...stop dealing with side effects...just deal with causatve....unamwita mlevi sawa ushawah kaa nae ukamuuliza kwa nn anakunywa? Anyway Mwenyezi Mungu ampe afya njema