Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

Tofauti yangu na wewe ni experience, usiharakishe, utakuja nielewa, mwanamke ni wa Muhimu, hasa unayekuwa naye mda mrefu, ups and down ans create bond

Huwezi oa mke ukina wa 30 mkavumiliana mpaka mkafika 45 au 50 akakimbia, hao ni mahawara wenu.
Mkuu - Kuna watu wanajua kuigiza hii dunia....shauri yako...hata mkae mpaka 60 - unakimbiwa tu...
 
no say
360_F_567721271_mfAcSiDO815dELvS9RefbdYGT8nBM0u0.jpg
 
Mtangazaji nguli wa show za jioni kutoka Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gadner G. Habash amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Pressure (Shinikizo la Damu).

Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa mwenyewe kupitia mahojiano yake na kipindi cha XXL, Kaptein amesema alianza kujisikia vibaya wiki chache zilizopita baadaye akapelekwa Hospitali ambako aligundulika kuwa na shida ambayo ilisababisha alazwe JKCI.

Grandmaster anataka kufanya yake nini.
 
Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa mwenyewe kupitia mahojiano yake na kipindi cha XXL, Kaptein amesema alianza kujisikia vibaya wiki chache zilizopita baadaye akapelekwa Hospitali ambako aligundulika kuwa na shida ambayo ilisababisha alazwe JKCI.
Hivi siyo huyu ndiyo alikuwa anapewa somo na Prof Janabi siku moja kuwa apunguze weight kwenye mahojiano!!!
 
Vijana acheni pombe kama mnatumia ARV
Dah alaf kweli watumiaji wengi wa ARV wakiendekeza pombe huwa zinawachakaza haraka sana bad enough wengi wao huwa wanatelekeza kumeza dawa ndo hapo huwa wanaugua hadi ukienda kumsalimia unamsahau unakuta kabadilika kwa ukali wa maradhi.
 
Alikua anaona sifa kunywa beer.
Kila siku Ndugu Janabi anasema tuache pombe, yeye ndio kwanza anaona sifa kunywa pombe.
Hapo tatizo litakua moyo.
Nadhani akitoka atajua matango, parachichi, mchicha na tembele linapouzwa.
Tuache kunywa beer? Aisee
 
Back
Top Bottom