Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

Hata hii kidogo tu? Mimi kila siku jioni baada ya mihangaiko mingi ya mchana huwa natulia mahali,nagonga k vant moja ndogo na maji lita,itanipa shida pia? Nimeogopa sana.
Mkuu
Acha Na Pombe Tunazoziita Inueni Mioyo, Twainua Kwa Bwana
Ambazo Ukinywa Unakunja Sura Mdomo Unanuka

Piga Hii Zabibu Kwa Afya Yako
20230825_174108.jpg
20230825_174108.jpg
20230825_174108.jpg
 
Ungekuwa unafanya kazi hapo muhimbili kitengo cha moyo ungeujua ukweli wote

Pombe lazima mwisho wake uwe mbaya I speak from my experience
Hizo ni story tu mimi baba yangu mkubwa now ana 95 anapiga gambe na fegi ..baba yangu nae kafariki na 82yrz akiwa na figo,maini yake yako fiti...presha humpata mtu kuanzia miaka 60 kuendelea,hao wala urojo na plau ndio wagonjwa wa sukari n presha,figo balaaa
 
Ina maana Unataka kusema kwakuwa babu yako na baba hawajapata madhara basi sigara na pombe ni safe .

??????
 
Mtangazaji nguli wa show za jioni kutoka Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gadner G. Habash amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Pressure (Shinikizo la Damu).

Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa mwenyewe kupitia mahojiano yake na kipindi cha XXL, Kaptein amesema alianza kujisikia vibaya wiki chache zilizopita baadaye akapelekwa Hospitali ambako aligundulika kuwa na shida ambayo ilisababisha alazwe JKCI.

Ni nani huyo?
 
Back
Top Bottom