Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

Namtakia afya njema na apone maradhi yanayomsumbua.

Upande wa pili; maisha aliyokuwa akiishi yanaweza kunyooshewa kidole wakati huu anapoumwa.

Ana video na picha kadhaa akinywa na akisifia unywaji wa pombe tena zile kali.

Lifestyle yake inawezekana sio sababu ya maradhi haya lakini kama ilivyo kawaida yetu wanadamu kwa namna moja ama nyingine kumbukumbu ya matukio hayo itarudishwa.

Pole sana Gadna.

Unywaji wa pombe ni hatari kwa afya.
 
Mtangazaji nguli wa show za jioni kutoka Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gadner G. Habash amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Pressure (Shinikizo la Damu).

Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa mwenyewe kupitia mahojiano yake na kipindi cha XXL, Kapitein amesema alianza kujisikia vibaya wiki chache zilizopita baadaye akapelekwa Hospitali ambako aligundulika kuwa na shida ambayo ilisababisha alazwe JKCI.
Professor Janabi is typing.........
 
Mkuu unafikiri ukiwa na mwanamke ndo atakuokoa na mauti au maradhi ?


Tofauti yangu na wewe ni experience, usiharakishe, utakuja nielewa, mwanamke ni wa Muhimu, hasa unayekuwa naye mda mrefu, ups and down ans create bond
Wenzako walikimbiwa na wake zao wakiwa hoi vitandani wagonjwa

Mama zao wakabaki kuwauguza bega kwa bega wakiwa pembeni ya vitanda vyao mpaka walipopona au umauti ulipowafikia


Huwezi oa mke ukina wa 30 mkavumiliana mpaka mkafika 45 au 50 akakimbia, hao ni mahawara wenu.
 
Back
Top Bottom