Kuna picha yake ilisambaa mitandaoni wiki iliyopita aisee....Mungu amsaidie...inawezekana pombe ikawa imechangia
sure,Madhara ya pombe hayo, ingawa afya yake ilionekana kudorora siku za hivi karibuni
Mwanamke ambaye hajaolewa ndio huwa haumwi sio?Ana mke? Mda huu uitaji wa mke unaongezeka?!?! Wazee wa kataa ndoa kuna kuumwa eti.
kuna watu wanakula gambe ila hadi leo wako sawa sana tena wengi kuliko wanao pata madharaHuyu na Prof Jay walikuwa watu wa gambe kali sana
Nguvu za ujana wengi zinawadanganya ukiwashauri kuhusu pombe kali na athari zake wanakuona mshamba tu
Ila umri unaposogea kimtindo tunaanza kuelewana
I wish him a speedy recovery