Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Baba yako akiwa mgonjwa hautaweza kumhudumia mpaka mke wake ambaye ni mama yako awepo sio?Hakuna mtu amekuambia kwamba utakosa wa kukupa huduma. Ila nani? Kwa gharama gani?
Baba yangu ni mzee sasa, ana mke, huwa akiugua mke anamuhudumia. Hata yeye binafsi anapendelea hivyo. Kuhudumiwa na mke wake ni sahihi kuliko kuhudumiwa na mimi.Baba yako akiwa mgonjwa hautaweza kumhudumia mpaka mke wake ambaye ni mama yako awepo sio?
Kwa hiyo utamchaji gharama baba yako za kumhudumia?
Vijana wa miaka hii mmekuwa wa hovyo sana.
Baba ni mgonjwa na bimkubwa hayupo kwa hiyo mtamsubiri mama yenu arudi ndio amuhudumie sio?Baba yangu ni mzee sasa, ana mke, huwa akiugua mke anamuhudumia. Hata yeye binafsi anapendelea hivyo. Kuhudumiwa na mke wake ni sahihi kuliko kuhudumiwa na mimi
Baba yangu ni mzee sasa, ana mke, huwa akiugua mke anamuhudumia. Hata yeye binafsi anapendelea hivyo. Kuhudumiwa na mke wake ni sahihi kuliko kuhudumiwa na mimi.
Huelewi kwa wepesi, ni mzito mnooooo. Nimekueleza, mwenye mke sahihi ana advantage kuliko asiye na mke. Ukiwa na mke ukaugua utachagua kushikwa huto tukalio twako na mwanao wa kiume au mkeo? Kama huna mke hapo sasa ndio wataingia watoto au manesi au marafiki au yoyote ila kama unaye mke sahihi lazima atakuwa chaguo la kwanza.
Kwenye mazingira hayo swali la kwanza ni hana mwenza wa kumsaidia jamani? Yaani unaonewa huruma.
Yeyote atakeyekuwepoNimekueleza, mwenye mke sahihi ana advantage kuliko asiye na mke. Ukiwa na mke ukaugua utachagua kushikwa huto tukalio twako na mwanao wa kiume au mkeo?
Hapa tunaongelea umuhimu wa uwepo wa mke, sio kutokuwepo kwake. Mke akiwepo ni first priority kwenye mazingira ya ugonjwa. Asipokuwepo mengine ndo yanafata. ELEWA.Baba ni mgonjwa na bimkubwa hayupo kwa hiyo mtamsubiri mama yenu arudi ndio amuhudumie sio?
Sasa mkewe yupo, mzee kajisaidia ntaenda mimi au dada zangu kusafisha? Au ntamlipa nesi? Hilo jukumu atalifanya mama yangu ambaye ni mkewe sababu yupo na ana weza kufanya. Ila kama hayupo au ni mzee sana hawezi, alternative zingine zitatumika.Umesema baba ni mzee huenda pia mama umri umeenda. Kwa hiyo mtamwachia jukumu lote mama yenu kwa kuwa nyinyi sio watu sahihi wa kumuhudumia?
Hili jibu halina maana kwako.Hivi wewe mwanetu kweli una upendo na kumjali baba yako?
Mengine yanafuata ni kama yapi?Asipokuwepo mengine ndo yanafata
Kama zipi?alternative zingine zitatumika
Hoja zako zimeshanipa jibu tayariHili jibu halina maana kwako.
Umeongea kinyonge mno. Jibu lako linaonyesha kuwa sio kwamba ukubali umuhimu wa mke sahihi, ila hayupo au humtaki mke kwenye maisha yako hivyo unabaki na option zingine.Yeyote atakeyekuwepo
Kwenye ugonjwa na umezidiwa kuna kuchagua nani wa kukuhudumia?
Kama watoto, ndugu, marafiki, kumlipa nesi n.kKama zipi?
Ni kipi ambacho mwanaume asiye na mke anakikosa wakati wa kuuguzwa anapokuwa mgonjwa?Umeongea kinyonge mno. Jibu lako linaonyesha kuwa sio kwamba ukubali umuhimu wa mke sahihi, ila hayupo au humtaki mke kwenye maisha yako hivyo unabaki na option zingine.
Boss sijasema lazima uwe na mke, nimesema katika mazingira ya ugonjwa, ukiwa na mke sahihi unakuwa na advantage kuliko asiye na mke.
Kwa hiyo tunakubaliana kuwa kumbe inawezekana mwanaume mgonjwa asiye na mke akauguzwa na watoto, ndugu, marafiki n.k si ndio?Kama watoto, ndugu, marafiki, kumlipa nesi n.k
Kutokuwa na mke sahihi tayari ni kukosa. Hata jamii yako katika mipango ya kukuhudumia itasema mzeee wetu ni mgonjwa, na hana mke. Tunafanyaje? Yaani kutokuwa na mke katika mazingira hayo tayari ni kukosa kitu.Ni kipi ambacho mwanaume asiye na mke anakikosa wakati wa kuuguzwa anapokuwa mgonjwa?
Hakuna mtu anayesema hilo haliwezekani, tunachosema ni rahisi zaidi ukiwa na mke.Kwa hiyo tunakubaliana kuwa kumbe inawezekana mwanaume mgonjwa asiye na mke akauguzwa na watoto, ndugu, marafiki n.k si ndio?
Kwa hiyo ni nini anachokikosa?Kutokuwa na mke sahihi tayari ni kukosa. Hata jamii yako katika mipango ya kukuhudumia itasema mzeee wetu ni mgonjwa, na hana mke. Tunafanyaje? Yaani kutokuwa na mke katika mazingira hayo tayari ni kukosa kitu.
Umegua kwa kiwango cha kutokujiweza, ukatakiwa kurudishwa nyumbani, na nyumbani huna mke, hayo mazingira tu ni tatizo na lazima watu walio karibu na wewe wakutane wakae kujadili nini kifanyike ili kubalance majukumu yao ya kila siku kwa familia zao, kazini na kukuhudumia.
Kwa hiyo tumekubaliana kumbe inawezekana mwanaume mgonjwa asiye na mke kuuguzwa. Hapa tupo pamoja hili tumeshalimalizaHakuna mtu anayesema hilo haliwezekani
Mke. Amekosa mke. Ukikosa mke inabidi wengine wakae kujadili unasaidikaje.Kwa hiyo ni nini anachokikosa?
EndeleaHamna content yoyote ya maana niliyoiona
Hoja zimeandikwa kitoto sana na kimhemko