Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

Baba yako akiwa mgonjwa hautaweza kumhudumia mpaka mke wake ambaye ni mama yako awepo sio?

Kwa hiyo utamchaji gharama baba yako za kumhudumia?

Vijana wa miaka hii mmekuwa wa hovyo sana.
Baba yangu ni mzee sasa, ana mke, huwa akiugua mke anamuhudumia. Hata yeye binafsi anapendelea hivyo. Kuhudumiwa na mke wake ni sahihi kuliko kuhudumiwa na mimi.

Huelewi kwa wepesi, ni mzito mnooooo. Nimekueleza, mwenye mke sahihi ana advantage kuliko asiye na mke. Ukiwa na mke ukaugua utachagua kushikwa huto tukalio twako na mwanao wa kiume au mkeo? Kama huna mke hapo sasa ndio wataingia watoto au manesi au marafiki au yoyote ila kama unaye mke sahihi lazima atakuwa chaguo la kwanza.

Kwenye mazingira hayo swali la kwanza ni hana mwenza wa kumsaidia jamani? Yaani unaonewa huruma.
 
Baba yangu ni mzee sasa, ana mke, huwa akiugua mke anamuhudumia. Hata yeye binafsi anapendelea hivyo. Kuhudumiwa na mke wake ni sahihi kuliko kuhudumiwa na mimi
Baba ni mgonjwa na bimkubwa hayupo kwa hiyo mtamsubiri mama yenu arudi ndio amuhudumie sio?

Umesema baba ni mzee huenda pia mama umri umeenda. Kwa hiyo mtamwachia jukumu lote mama yenu kwa kuwa nyinyi sio watu sahihi wa kumuhudumia?

Hivi wewe mwanetu kweli una upendo na kumjali baba yako?
 
Baba yangu ni mzee sasa, ana mke, huwa akiugua mke anamuhudumia. Hata yeye binafsi anapendelea hivyo. Kuhudumiwa na mke wake ni sahihi kuliko kuhudumiwa na mimi.

Huelewi kwa wepesi, ni mzito mnooooo. Nimekueleza, mwenye mke sahihi ana advantage kuliko asiye na mke. Ukiwa na mke ukaugua utachagua kushikwa huto tukalio twako na mwanao wa kiume au mkeo? Kama huna mke hapo sasa ndio wataingia watoto au manesi au marafiki au yoyote ila kama unaye mke sahihi lazima atakuwa chaguo la kwanza.

Kwenye mazingira hayo swali la kwanza ni hana mwenza wa kumsaidia jamani? Yaani unaonewa huruma.

Na siku mke wake akiumwa atahudumiwa na nani
 
Baba ni mgonjwa na bimkubwa hayupo kwa hiyo mtamsubiri mama yenu arudi ndio amuhudumie sio?
Hapa tunaongelea umuhimu wa uwepo wa mke, sio kutokuwepo kwake. Mke akiwepo ni first priority kwenye mazingira ya ugonjwa. Asipokuwepo mengine ndo yanafata. ELEWA.
Umesema baba ni mzee huenda pia mama umri umeenda. Kwa hiyo mtamwachia jukumu lote mama yenu kwa kuwa nyinyi sio watu sahihi wa kumuhudumia?
Sasa mkewe yupo, mzee kajisaidia ntaenda mimi au dada zangu kusafisha? Au ntamlipa nesi? Hilo jukumu atalifanya mama yangu ambaye ni mkewe sababu yupo na ana weza kufanya. Ila kama hayupo au ni mzee sana hawezi, alternative zingine zitatumika.
Hivi wewe mwanetu kweli una upendo na kumjali baba yako?
Hili jibu halina maana kwako.
 
Yeyote atakeyekuwepo

Kwenye ugonjwa na umezidiwa kuna kuchagua nani wa kukuhudumia?
Umeongea kinyonge mno. Jibu lako linaonyesha kuwa sio kwamba ukubali umuhimu wa mke sahihi, ila hayupo au humtaki mke kwenye maisha yako hivyo unabaki na option zingine.

Boss sijasema lazima uwe na mke, nimesema katika mazingira ya ugonjwa, ukiwa na mke sahihi unakuwa na advantage kuliko asiye na mke.
 
Ni kipi ambacho mwanaume asiye na mke anakikosa wakati wa kuuguzwa anapokuwa mgonjwa?
 
Kutokuwa na mke sahihi tayari ni kukosa. Hata jamii yako katika mipango ya kukuhudumia itasema mzeee wetu ni mgonjwa, na hana mke. Tunafanyaje? Yaani kutokuwa na mke katika mazingira hayo tayari ni kukosa kitu.

Umegua kwa kiwango cha kutokujiweza, ukatakiwa kurudishwa nyumbani, na nyumbani huna mke, hayo mazingira tu ni tatizo na lazima watu walio karibu na wewe wakutane wakae kujadili nini kifanyike ili kubalance majukumu yao ya kila siku kwa familia zao, kazini na kukuhudumia.
 
Kwa hiyo tunakubaliana kuwa kumbe inawezekana mwanaume mgonjwa asiye na mke akauguzwa na watoto, ndugu, marafiki n.k si ndio?
Hakuna mtu anayesema hilo haliwezekani, tunachosema ni rahisi zaidi ukiwa na mke.

Assume una watoto 3. Watu wazima, wameajiriwa, wana watoto majumbani, na wewe unaumwa hujiwezi, ipi rahisi, kuhudumiwa na hao watoto au kuhudumiwa na mke kama yupo?
 
Kutokuwa na mke sahihi tayari ni kukosa. Hata jamii yako katika mipango ya kukuhudumia itasema mzeee wetu ni mgonjwa, na hana mke. Tunafanyaje? Yaani kutokuwa na mke katika mazingira hayo tayari ni kukosa kitu.

Umegua kwa kiwango cha kutokujiweza, ukatakiwa kurudishwa nyumbani, na nyumbani huna mke, hayo mazingira tu ni tatizo na lazima watu walio karibu na wewe wakutane wakae kujadili nini kifanyike ili kubalance majukumu yao ya kila siku kwa familia zao, kazini na kukuhudumia.
Kwa hiyo ni nini anachokikosa?
 
Kwa hiyo ni nini anachokikosa?
Mke. Amekosa mke. Ukikosa mke inabidi wengine wakae kujadili unasaidikaje.

By the way, bora wazee wale wasio na wake sababu wamefiwa, wale zalisha acha mtoto alelewe na mama, hata hiyo connection hana kuwa watoto watapatwa uchungu na mzee wao. Hali ni mbaya zaidi kwenye hayo mazingira, mpaka mama yao apige kuwakumbusha baba yenu yupo hospitali na hapo yupo kwa mwanaume mwingine alishaolewa ndo hali inakuwa ngumu zaidi.
 
Back
Top Bottom