Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

Umeandika kitoto sana.

Umewahi kwenda hospitali ukaona wanaume wasio na wake wakakosa watu wa kuwauguza?

Vipi wale ambao wake zao walikufa?
Una ubishi wa kijinga. Wanaume wasio na wake wanauguzwa na kina nani? Wataje.

Binafsi naongea kwa experience, niliwahi kuwa mgonjwa na ni mke ndiye aliyeniuguza. Siyo watoto, siyo rafiki, siyo mama. NI MKE WANGU MAMA NANII NDO ALIPIKA, AKANIOGESHA, NA KUPIGA STORY NA MIMI MPAKA NAPONA.

Una umri gani boss? Kuna maswali unayauliza inaonekana upo 20's au early 30's.

Mtu yoyote mtu mzima hata kama hana mke hawezi sema kutokuwa na mke hakuna umuhimu kwenye maradhi sababu anakua ameishi na kuona mengi.
 
Nakuelewa sana boss. Naelewa mno unalolisema. Acha tu. Kwa ambaye ameshuhudia haya wala hutumii nguvu kubwa kuelezea.
 
Acha na watoto mkuu hawawezi kukuelewa.
 
eti eeh John Ikechukwu Okafor kaumwa, yuko hoi kitandani
mke ndiyo wa kwanza kudai mali nusu kwa nusu , kakwapua kibunda kala kona

badili iwe, wanaume tunahitaji TAPELI


Umetoa mfano wa John ikechukwu, mm nina mifano ya wazazi, baba wakubwa, baba wadogo, marafiki, ambao mke amekuwa msaada kwenye maisha yao. Unadhani ntahitimisha mke ni tapeli sababu ikechukwu alikimbiwa?
 
Umetoa mfano wa John ikechukwu, mm nina mifano ya wazazi, baba wakubwa, baba wadogo, marafiki, ambao mke amekuwa msaada kwenye maisha yao. Unadhani ntahitimisha mke ni tapeli sababu ikechukwu alikimbiwa?
nimetoa mfano sababu ni celebrity, anajulikana, wengi wasiojulikana ni vilio na majuto
ni swala la mda tu
 
Kijana umewahi kwenda wodi za wanaume hospitali ujionee?

Kuna wagonjwa vijana ambao hawajaoa na watu wazima ambao hawajaoa au walifiwa na wake zao

Na hautakuta kitanda cha mgonjwa ambaye amekosa watu wa kumuuguza
Hakuna mtu amekuambia kwamba utakosa wa kukupa huduma. Ila nani? Kwa gharama gani? Tunasema kama una mke sahihi una advantage kuliko asiye na mke.

Yaani kwa lugha nyepesi ya akili yako kuelewa chukulia umebanwa na tumbo kali la kuhara ukiwa nyumbani halafu ukabanwa ukiwa kwenye mkutano wa hadhara katikati ya kundi kubwa la watu.

Katika mazingira yoyote Kuharisha utaharisha ila utapata tabu zaidi ukiwa hapo katikati ya kundi la watu mpaka upate choo watu wakupishe upite usipojiharishia sijui.
 
nimetoa mfano sababu ni celebrity, anajulikana, wengi wasiojulikana ni vilio na majuto
ni swala la mda tu
Ndo maana nikakwambia wewe una mfano unaoonyesha mke ni tapeli, mimi nina mifano ya kuonyesha umuhimu wa mke. Mifano ambayo nimeiishi katika makuzi yangu, unadhani nitamtumia celebrity kuhitimisha kuwa mke ni tapeli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…