Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Una ubishi wa kijinga. Wanaume wasio na wake wanauguzwa na kina nani? Wataje.Umeandika kitoto sana.
Umewahi kwenda hospitali ukaona wanaume wasio na wake wakakosa watu wa kuwauguza?
Vipi wale ambao wake zao walikufa?
Binafsi naongea kwa experience, niliwahi kuwa mgonjwa na ni mke ndiye aliyeniuguza. Siyo watoto, siyo rafiki, siyo mama. NI MKE WANGU MAMA NANII NDO ALIPIKA, AKANIOGESHA, NA KUPIGA STORY NA MIMI MPAKA NAPONA.
Una umri gani boss? Kuna maswali unayauliza inaonekana upo 20's au early 30's.
Mtu yoyote mtu mzima hata kama hana mke hawezi sema kutokuwa na mke hakuna umuhimu kwenye maradhi sababu anakua ameishi na kuona mengi.