Uchaguzi 2020 Mtangazaji Doto Bulendu aomba re-match baada ya maswali yake yote kupanguliwa na Tundu Lissu. Kila anayemkamia Lissu huishia kumkubali

Naona bado akili zimeganda xaxa mlikuwa mnamdanganya ili mridishe nan kuwa ni hela za ndani wakati mmekopa ? Kila cku kujisifisia ni hela zetu wenyewe kumbe ndo hao mnaowaita mabeberu mnawakopa pumbavu xana
sababu ya kutosoma magazeti na kufuatilia vyombo vya habari. Mikopo ikifanyika serikali huwa inatangaza. Na kuweka wazi ni kwa ajili ya mradi gani.
 
Ww unayejikuta unasomaga magazeti kama kila mradi nchi hii tunatekeleza kwa hela zetu tuambie hizo mlizokopa mlizikula au mlitumia wapi akili za ccm bhn xaiv lissu kawashika pabaya mnakosa credit .ndo maana mlimtumbua professor Assad kisa kawaumbua mlikula 1.5 trillion
Sababu ya kutosoma magazeti na kufuatilia vyombo vya habari. Mikopo ikifanyika Serikali huwa inatangaza. Na kuweka wazi ni kwa ajili ya mradi gani.
 
Magufuli anasema tumpe miaka mingine mitano ili amalizie kujenga miradi aliyoianza, katika miaka mitano standard gauge rail imefika Morogoro maana yake anahitaji miaka 10 ili aifikishe Mwanza.
Yeye ajione kama amekufa, Je akifa haya yote hayataendelea? Nchi atakwenda nayo? asilete utoto hapa! Tatizo anajiona kuwa Rais hii nchi ni kama mali yake ya Chato!
 
Lissu bado hajapona, nilipogundua hili niliacha kumshambulia kwa hoja nzito

Lissu bado ni mgonjwa, Uchaguzi ukiisha awahi arudi ubeligiji akapate tiba ya akili

Sometimes hoja unayotoa ndiyo inakudharisha jinsi ulivyo mbovu kwenye kutafakali.unaonekana hupendi yanayoendelea lakini nadhani njaa ndiyo inakusumbua
 
Kupinga maendeleo ya watanzania kwa hoja za kitoto kama hizo? Eti kwa nini deni la taifa limezidi? Kwani haoni mambo yanayofanyika. Na hajui kuwa linalipwa kwa pesa za watanzania!
Sasa mbona mnasema yanayofanyika yanafanyika kwa kodi zetu!mnatuchanganya sasa
 
..dawa ni kukaa mbali kabisa na Tundu Lissu.

..ukikutana naye he would either impress you with his intellect, or his honesty and decency.
HONESTY AND DECENCY.
These words must have lost their meaning or you simply don't know what they mean.
 
Yeye ajione kama amekufa, Je akifa haya yote hayataendelea? Nchi atakwenda nayo? asilete utoto hapa! Tatizo anajiona kuwa Rais hii nchi ni kama mali yake ya Chato!
Anatugawa Watanzania wazi wazi eti nichagulieni mbunge na diwani wa CCM. Vyama vya upinzani visichaguliwe kabisa. Maana yake ajira ya siasa ni kwa wana CCM tu.
 
Lissu anaongea hoja za kipuuzi sana kwani huoni hiyo miradi inayotekelezwa mpaka uulize kama imeliwa? Wewe na Lissu subirini muanze kununua unit 1 ya umeme sh 90.
 
HONESTY AND DECENCY.
These words must have lost their meaning or you simply don't know what they mean.

Ni kwasababu hujakutana naye.

Wewe umezoea wakina Magufuli na Polepole.
 
Mimi ni mkulima na mfanyabiashara wa mazao ya kilimo, hadi mwezi huu wa tisa biashara ya mpunga imedoda gunia 45,000/- mchele grade A kilo elfu moja, grd B sh 900/-, the same to Geita, sengerema, na shinyanga. Morogoro ndo usiseme, uchumi ni mbaya purchasing power ya watu uko chini. Sasa kwa hali hiyo mie mkulima ntaponaje kama sipati soko la mazao yangu?

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Wewe shida yako nini? Soko au nini? Kama ni soko lete Dar es salaam mchele unachezea 1400-1600.
 
Uliambiwa kuwa umeme utashuka bei?

..walisema mgao utakwisha, na umeme utashuka bei.

..bei ya umeme baada ya stieglers kukamilika itategemea kama mkopo tuliochukua una masharti mazuri au mabaya.

..kwani mkopo wa stieglers umetoka wapi? umetoka kwa mabeberu?
 
Kawe Alumni,

Mtajua Mwaka huu kuwa 2015 mlootea

It is TunduLissu against CCM,SERIKALI, TISS, VIONGOZI UCHWARA WA DINI

Mungu Mwema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…