Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sababu ya kutosoma magazeti na kufuatilia vyombo vya habari. Mikopo ikifanyika serikali huwa inatangaza. Na kuweka wazi ni kwa ajili ya mradi gani.Naona bado akili zimeganda xaxa mlikuwa mnamdanganya ili mridishe nan kuwa ni hela za ndani wakati mmekopa ? Kila cku kujisifisia ni hela zetu wenyewe kumbe ndo hao mnaowaita mabeberu mnawakopa pumbavu xana
Sababu ya kutosoma magazeti na kufuatilia vyombo vya habari. Mikopo ikifanyika Serikali huwa inatangaza. Na kuweka wazi ni kwa ajili ya mradi gani.
Yeye ajione kama amekufa, Je akifa haya yote hayataendelea? Nchi atakwenda nayo? asilete utoto hapa! Tatizo anajiona kuwa Rais hii nchi ni kama mali yake ya Chato!Magufuli anasema tumpe miaka mingine mitano ili amalizie kujenga miradi aliyoianza, katika miaka mitano standard gauge rail imefika Morogoro maana yake anahitaji miaka 10 ili aifikishe Mwanza.
Lissu bado hajapona, nilipogundua hili niliacha kumshambulia kwa hoja nzito
Lissu bado ni mgonjwa, Uchaguzi ukiisha awahi arudi ubeligiji akapate tiba ya akili
huo mzigo wa Deni mnawaachie Vizazi vijavyo nyie mkiwa ahera huko.Kwani kuwa na deni ndio ni kosa? Kwani hilo deni linalipwa na mabeberu? Au linalipwa na Wabelgiji
Sasa mbona mnasema yanayofanyika yanafanyika kwa kodi zetu!mnatuchanganya sasaKupinga maendeleo ya watanzania kwa hoja za kitoto kama hizo? Eti kwa nini deni la taifa limezidi? Kwani haoni mambo yanayofanyika. Na hajui kuwa linalipwa kwa pesa za watanzania!
HONESTY AND DECENCY...dawa ni kukaa mbali kabisa na Tundu Lissu.
..ukikutana naye he would either impress you with his intellect, or his honesty and decency.
Anatugawa Watanzania wazi wazi eti nichagulieni mbunge na diwani wa CCM. Vyama vya upinzani visichaguliwe kabisa. Maana yake ajira ya siasa ni kwa wana CCM tu.Yeye ajione kama amekufa, Je akifa haya yote hayataendelea? Nchi atakwenda nayo? asilete utoto hapa! Tatizo anajiona kuwa Rais hii nchi ni kama mali yake ya Chato!
Lissu anaongea hoja za kipuuzi sana kwani huoni hiyo miradi inayotekelezwa mpaka uulize kama imeliwa? Wewe na Lissu subirini muanze kununua unit 1 ya umeme sh 90.Ww unayejikuta unasomaga magazeti kama kila mradi nchi hii tunatekeleza kwa hela zetu tuambie hizo mlizokopa mlizikula au mlitumia wapi akili za ccm bhn xaiv lissu kawashika pabaya mnakosa credit .ndo maana mlimtumbua professor Assad kisa kawaumbua mlikula 1.5 trillion
HONESTY AND DECENCY.
These words must have lost their meaning or you simply don't know what they mean.
Lissu anaongea hoja za kipuuzi sana kwani huoni hiyo miradi inayotekelezwa mpaka uulize kama imeliwa? Wewe na Lissu subirini muanze kununua unit 1 ya umeme sh 90.
Acha akili za kitoto, unadhani hilo deni linalipwa na nini? Bangi na konyagi mnazokunywa na kuvuta!Sasa mbona mnasema yanayofanyika yanafanyika kwa kodi zetu!mnatuchanganya sasa
Mimi ni mkulima na mfanyabiashara wa mazao ya kilimo, hadi mwezi huu wa tisa biashara ya mpunga imedoda gunia 45,000/- mchele grade A kilo elfu moja, grd B sh 900/-, the same to Geita, sengerema, na shinyanga. Morogoro ndo usiseme, uchumi ni mbaya purchasing power ya watu uko chini. Sasa kwa hali hiyo mie mkulima ntaponaje kama sipati soko la mazao yangu?Wewe acha kuwa na hoja za kitoto,kwani hiyo miradi inayotekelezwa kwa mikopo si inajulikana. Na deni la taifa analolipigia kelele huyu Lissu linalipika tena vizuri tu. Miradi tunayojenga kwa pesa zisizo za mkopo unaiona kama JNHPP. Lissu anadanganya umma kama nani? Data anazitoa online kwa kusearch ni za kuamini?
Wananchi hawana hali mbaya ndio maana wakulima na watu wanaojishughulisha wanaishi vizuri tu. Wewe na mafisadi mlizoea kupata pesa za wizi ambazo ziliongeza mzunguko wa pesa usio halali
Maendeleo ya vitu na watu ndio upuuzi gani? Kwani Hospital,shule na barabara zinajengwa kwa ajili ya fisi.
Uliambiwa kuwa umeme utashuka bei?..hata IPTL tuliambiwa hivyohivyo.
Wewe shida yako nini? Soko au nini? Kama ni soko lete Dar es salaam mchele unachezea 1400-1600.Mimi ni mkulima na mfanyabiashara wa mazao ya kilimo, hadi mwezi huu wa tisa biashara ya mpunga imedoda gunia 45,000/- mchele grade A kilo elfu moja, grd B sh 900/-, the same to Geita, sengerema, na shinyanga. Morogoro ndo usiseme, uchumi ni mbaya purchasing power ya watu uko chini. Sasa kwa hali hiyo mie mkulima ntaponaje kama sipati soko la mazao yangu?
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Uliambiwa kuwa umeme utashuka bei?
Huyu huyu kibaraka wa beberu?