Uchaguzi 2020 Mtangazaji Doto Bulendu aomba re-match baada ya maswali yake yote kupanguliwa na Tundu Lissu. Kila anayemkamia Lissu huishia kumkubali

Wewe shida yako nini? Soko au nini? Kama ni soko lete Dar es salaam mchele unachezea 1400-1600.
Ila hiyo bei nilikuwa naipata pale pale kahama. Anyaway nashukuru kwa taarifa hiyo ntafanya cost analysis, nione kama inalipa. Ila mwambie huyo bwana mkubwa asiwe anafunga mipaka ili tupate soko la nje kirahisi, hapo ndo tutasema anatujali siye walulima wanyonge wa nchi hii.

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
..walisema mgao utakwisha, na umeme utashuka bei.

..bei ya umeme baada ya stieglers kukamilika itategemea kama mkopo tuliochukua una masharti mazuri au mabaya.

..kwani mkopo wa stieglers umetoka wapi? umetoka kwa mabeberu?
JNHPP inajengwa kwa cash sio mkopo.
 
Huyu bwana mkubwa anajali kila mtu. Mkiruhusiwa kuuza nje hovyo hapa ndani bei inapanda. Nyie wakusanya mpunga hamna huruma. Serikali ya Ccm ipo makini sana.
 
Kawe Alumni,

Vichaa huwa wanaamini wana akili kuwazidi wazima. Wanaamini pia kuwa wana nguvu kuliko kitu chochote. Ndiyo maana kichaa utamwona anatembea katikati ya barabara huku magari yakimkwepa. Yanapomkwepa, anaamini ana nguvu kuyazidi magari yote.

Kama una ndugu wa karibu, mwulize anakuonaje? Huenda tayari umgonjwa wewe. Kama huna ndugu wa karibu, nende mwenyewe Mirembe, waomve madaktari wakupime afya ya akili, ili ujue afya akili yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..walioamua kuvizuia vyombo vya habari visimtangaze siyo wajinga.

..wanajua uwezo na ushawishi wa hoja alionao Tundu Lissu.

..Doto Bulendu amejaribu kumbana lakini imeshindikana. Ameamua kuomba re-match.

 
Ifakara, Kilombero
Tanzania

Lissu leo kampeni yake Ifakara 12/9/2020


 
Kupinga maendeleo ya watanzania kwa hoja za kitoto kama hizo? Eti kwa nini deni la taifa limezidi? Kwani haoni mambo yanayofanyika. Na hajui kuwa linalipwa kwa pesa za watanzania!
Mambo yasiyo na tija hatuyataki watanzania.
 
Vipi kuajiri watu milioni 5 hili ni lΓ‘ kweli au uongo?
 
..walioamua kuvizuia vyombo vya habari visimtangaze siyo wajinga.

..wanajua uwezo na ushawishi wa hoja alionao Tundu Lissu.

..Doto Bulendu amejaribu kumbana lakini imeshindikana. Ameamua kuomba re-match.

Lissu hatare sana!! Kamvuruga Doto hadi Doto akaamua kuwa mpole πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€

Kweli lissu ni akili kubwa!!!
 
Kupinga maendeleo ya watanzania kwa hoja za kitoto kama hizo? Eti kwa nini deni la taifa limezidi? Kwani haoni mambo yanayofanyika. Na hajui kuwa linalipwa kwa pesa za watanzania!
Ndugu,cMambo yanafanyika kwa pesa za watanzania afu Deni linaongezeka vipi!!? Au Deni la taifa linatumia ule msemo wa "Pilipili nimekula Mimi ila wewe unawashwa!!?"
 
Lissu ni Lissu mpaka kiama..#NIYEYE
Rais wa awamu ya6 Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…