Mtu wa ajabu kabisa!Anatugawa Watanzania wazi wazi eti nichagulieni mbunge na diwani wa CCM. Vyama vya upinzani visichaguliwe kabisa. Maana yake ajira ya siasa ni kwa wana CCM tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu wa ajabu kabisa!Anatugawa Watanzania wazi wazi eti nichagulieni mbunge na diwani wa CCM. Vyama vya upinzani visichaguliwe kabisa. Maana yake ajira ya siasa ni kwa wana CCM tu.
Ila hiyo bei nilikuwa naipata pale pale kahama. Anyaway nashukuru kwa taarifa hiyo ntafanya cost analysis, nione kama inalipa. Ila mwambie huyo bwana mkubwa asiwe anafunga mipaka ili tupate soko la nje kirahisi, hapo ndo tutasema anatujali siye walulima wanyonge wa nchi hii.Wewe shida yako nini? Soko au nini? Kama ni soko lete Dar es salaam mchele unachezea 1400-1600.
JNHPP inajengwa kwa cash sio mkopo...walisema mgao utakwisha, na umeme utashuka bei.
..bei ya umeme baada ya stieglers kukamilika itategemea kama mkopo tuliochukua una masharti mazuri au mabaya.
..kwani mkopo wa stieglers umetoka wapi? umetoka kwa mabeberu?
Huyu bwana mkubwa anajali kila mtu. Mkiruhusiwa kuuza nje hovyo hapa ndani bei inapanda. Nyie wakusanya mpunga hamna huruma. Serikali ya Ccm ipo makini sana.Ila hiyo bei nilikuwa naipata pale pale kahama. Anyaway nashukuru kwa taarifa hiyo ntafanya cost analysis, nione kama inalipa. Ila mwambie huyo bwana mkubwa asiwe anafunga mipaka ili tupate soko la nje kirahisi, hapo ndo tutasema anatujali siye walulima wanyonge wa nchi hii.
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
..walioamua kuvizuia vyombo vya habari visimtangaze siyo wajinga.
..wanajua uwezo na ushawishi wa hoja alionao Tundu Lissu.
..Doto Bulendu amejaribu kumbana lakini imeshindikana. Ameamua kuomba re-match.
Tundu Lissu amewasili katika wakati muafaka, anahoji na kuuliza maswali mengi yaliyokuwa yanaulizwa na wengi wenye akili na hekima kifichoni kutokana na hofu.
Sasa mambo yote kweupe hadharani kitu ambacho awamu ya 5 walikuwa hawajazoea kuambiwa ukweli.
Ufisadi umehamia gizani Ikulu ili usionekane wala usihojiwa lakini muda huu wa kampeni 2020 waTanzania wanafurahia na kuona umuhimu wa wanasiasa mbadala kutoka kambi ya upinzani na wanawaamini na kutaka kuwapa uongozi wa nchi.
Mambo yasiyo na tija hatuyataki watanzania.Kupinga maendeleo ya watanzania kwa hoja za kitoto kama hizo? Eti kwa nini deni la taifa limezidi? Kwani haoni mambo yanayofanyika. Na hajui kuwa linalipwa kwa pesa za watanzania!
Naomba nibadilishe kidogo kauli yako.Ufisadi umehamia Ikulu.
Vipi kuajiri watu milioni 5 hili ni lá kweli au uongo?Wewe acha kuwa na hoja za kitoto,kwani hiyo miradi inayotekelezwa kwa mikopo si inajulikana. Na deni la taifa analolipigia kelele huyu Lissu linalipika tena vizuri tu. Miradi tunayojenga kwa pesa zisizo za mkopo unaiona kama JNHPP. Lissu anadanganya umma kama nani? Data anazitoa online kwa kusearch ni za kuamini?
Wananchi hawana hali mbaya ndio maana wakulima na watu wanaojishughulisha wanaishi vizuri tu. Wewe na mafisadi mlizoea kupata pesa za wizi ambazo ziliongeza mzunguko wa pesa usio halali
Maendeleo ya vitu na watu ndio upuuzi gani? Kwani Hospital,shule na barabara zinajengwa kwa ajili ya fisi.
Acha upuuzi JNHPP inajengwa kwa cash sio mkopo.
Anatumika na mabeberu wa kichina..dawa ni kukaa mbali kabisa na Tundu Lissu.
..ukikutana naye he would either impress you with his intellect, or his honesty and decency.
..walioamua kuvizuia vyombo vya habari visimtangaze siyo wajinga.
..wanajua uwezo na ushawishi wa hoja alionao Tundu Lissu.
..Doto Bulendu amejaribu kumbana lakini imeshindikana. Ameamua kuomba re-match.
Heri yake tumbo alilozaliwa lissu..dawa ni kukaa mbali kabisa na Tundu Lissu.
..ukikutana naye he would either impress you with his intellect, or his honesty and decency.
Ndugu,cMambo yanafanyika kwa pesa za watanzania afu Deni linaongezeka vipi!!? Au Deni la taifa linatumia ule msemo wa "Pilipili nimekula Mimi ila wewe unawashwa!!?"Kupinga maendeleo ya watanzania kwa hoja za kitoto kama hizo? Eti kwa nini deni la taifa limezidi? Kwani haoni mambo yanayofanyika. Na hajui kuwa linalipwa kwa pesa za watanzania!
Magu hawezi kumjibu lisuAombe kuwakutanisha na Magu
Unahangaika kama malaya wa kisiasa...ndege ndiyo cash.
..sgr, na stieglers, ni mikopo.
..siyo aibu au dhambi kujenga kwa mkopo.
..cha msingi mkopo uwe wa masharti nafuu.
Unahangaika kama malaya wa kisiasa.