Uchaguzi 2020 Mtangazaji Doto Bulendu aomba re-match baada ya maswali yake yote kupanguliwa na Tundu Lissu. Kila anayemkamia Lissu huishia kumkubali

Uchaguzi 2020 Mtangazaji Doto Bulendu aomba re-match baada ya maswali yake yote kupanguliwa na Tundu Lissu. Kila anayemkamia Lissu huishia kumkubali

Kupinda maendeleo ya watanzania kwa hoja za kitoto kama hizo? Eti kwa nini deni la taifa limezidi? Kwani haoni mambo yanayofanyika. Na hajui kuwa linalipwa kwa pesa za watanzania!

Mnasema kila kitu kinafanyika kwa fedha za zetu wenyewe, sasa hili deni linatokea wapi?

Na kwanini mambo yanafanyika huku hali ya uchumi wa wananchi ikiendelea kuwa mbaya, na vyuma vinakaza?

Tunataka uongozi unaoweza kuleta maendeleo ya watu na vitu. wananchi hawali Bombadier au Dreamliner.
 
Kupinga maendeleo ya watanzania kwa hoja za kitoto kama hizo? Eti kwa nini deni la taifa limezidi? Kwani haoni mambo yanayofanyika. Na hajui kuwa linalipwa kwa pesa za Watanzania!
Si kila siku mnajisifia mnafanya miradi kwa hela za ndani (hela zetu) xaxa madeni yanaongezeka vip? Watanzania siyo wajinga.
 
..mnasema kila kitu kinafanyika kwa fedha za zetu wenyewe, sasa hili deni linatokea wapi?

..na kwanini mambo yanafanyika huku hali ya uchumi wa wananchi ikiendelea kuwa mbaya, na vyuma vinakaza?

..tunataka uongozi unaoweza kuleta maendeleo ya watu na vitu. wananchi hawali bombadier au dreamliner.
Kwani hiyo miradi inayotekelezwa kwa mikopo si inajulikana. Na deni la taifa analolipigia kelele huyu Lissu linalipika tena vizuri tu. Miradi tunayojenga kwa pesa zisizo za mkopo unaiona kama JNHPP. Lissu anadanganya umma kama nani? Data anazitoa online kwa kusearch ni za kuamini?

Wananchi hawana hali mbaya ndio maana wakulima na watu wanaojishughulisha wanaishi vizuri tu. Wewe na mafisadi mlizoea kupata pesa za wizi ambazo ziliongeza mzunguko wa pesa usio halali.

Maendeleo ya vitu na watu ndio upuuzi gani? Kwani Hospital, shule na barabara zinajengwa kwa ajili ya fisi.
 
..[emoji23][emoji23][emoji23]

..hata Doto Bulendu alijua anakwenda kumhoji mgonjwa.

..katikati ya mahojiano Bulendu alitamani akimbie kwa nyundo alizokuwa akishusha Tundu Lissu.
Ila Doto Bulendu ana akili sana. Maswali yake alikuwa anayabalance asionekane ametumwa na Chadema. Alikuwa akitaka kumuonesha Lissu kuwa kuna vitu vimefanywa na jiwe. Na hapo ndipo alipompa Lissu nafasi mujarabu ya kumkosoa jiwe.
 
Kupinga maendeleo ya watanzania kwa hoja za kitoto kama hizo? Eti kwa nini deni la taifa limezidi? Kwani haoni mambo yanayofanyika. Na hajui kuwa linalipwa kwa pesa za watanzania!
Magufuli anasema tumpe miaka mingine mitano ili amalizie kujenga miradi aliyoianza, katika miaka mitano standard gauge rail imefika Morogoro maana yake anahitaji miaka 10 ili aifikishe Mwanza.
 
Magufuli anasema tumpe miaka mingine mitano ili amalizie kujenga miradi aliyoianza, katika miaka mitano standard gauge rail imefika Morogoro maana yake anahitaji miaka 10 ili aifikishe Mwanza.
Acha kujidanganya, Dar Moro imechelewa sababu ya milima. Hiyo inayofuata ni kutandika tuta tu kama madada wa kichaga mnavyolala kwenye game.
 
Back
Top Bottom