Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aombe kuwakutanisha na Magu
Lisu is extraordinary good upstairs!..walioamua kuvizuia vyombo vya habari visimtangaze siyo wajinga...
Kupinda maendeleo ya watanzania kwa hoja za kitoto kama hizo? Eti kwa nini deni la taifa limezidi? Kwani haoni mambo yanayofanyika. Na hajui kuwa linalipwa kwa pesa za watanzania!
Lisu is extraordinary good upstairs!
Si kila siku mnajisifia mnafanya miradi kwa hela za ndani (hela zetu) xaxa madeni yanaongezeka vip? Watanzania siyo wajinga.Kupinga maendeleo ya watanzania kwa hoja za kitoto kama hizo? Eti kwa nini deni la taifa limezidi? Kwani haoni mambo yanayofanyika. Na hajui kuwa linalipwa kwa pesa za Watanzania!
Kwani hiyo miradi inayotekelezwa kwa mikopo si inajulikana. Na deni la taifa analolipigia kelele huyu Lissu linalipika tena vizuri tu. Miradi tunayojenga kwa pesa zisizo za mkopo unaiona kama JNHPP. Lissu anadanganya umma kama nani? Data anazitoa online kwa kusearch ni za kuamini?..mnasema kila kitu kinafanyika kwa fedha za zetu wenyewe, sasa hili deni linatokea wapi?
..na kwanini mambo yanafanyika huku hali ya uchumi wa wananchi ikiendelea kuwa mbaya, na vyuma vinakaza?
..tunataka uongozi unaoweza kuleta maendeleo ya watu na vitu. wananchi hawali bombadier au dreamliner.
Kwani kuwa na deni ndio ni kosa? Kwani hilo deni linalipwa na mabeberu? Au linalipwa na WabelgijiSi kila siku mnajisifia mnafanya miradi kwa hela za ndani (hela zetu) xaxa madeni yanaongezeka vip? Watanzania siyo wajinga
Ila Doto Bulendu ana akili sana. Maswali yake alikuwa anayabalance asionekane ametumwa na Chadema. Alikuwa akitaka kumuonesha Lissu kuwa kuna vitu vimefanywa na jiwe. Na hapo ndipo alipompa Lissu nafasi mujarabu ya kumkosoa jiwe...[emoji23][emoji23][emoji23]
..hata Doto Bulendu alijua anakwenda kumhoji mgonjwa.
..katikati ya mahojiano Bulendu alitamani akimbie kwa nyundo alizokuwa akishusha Tundu Lissu.
Magufuli anasema tumpe miaka mingine mitano ili amalizie kujenga miradi aliyoianza, katika miaka mitano standard gauge rail imefika Morogoro maana yake anahitaji miaka 10 ili aifikishe Mwanza.Kupinga maendeleo ya watanzania kwa hoja za kitoto kama hizo? Eti kwa nini deni la taifa limezidi? Kwani haoni mambo yanayofanyika. Na hajui kuwa linalipwa kwa pesa za watanzania!
kwani kuwa na deni ndio ni kosa? Kwani hilo deni linalipwa na mabeberu? Au linalipwa na Wabelgiji
Acha kujidanganya, Dar Moro imechelewa sababu ya milima. Hiyo inayofuata ni kutandika tuta tu kama madada wa kichaga mnavyolala kwenye game.Magufuli anasema tumpe miaka mingine mitano ili amalizie kujenga miradi aliyoianza, katika miaka mitano standard gauge rail imefika Morogoro maana yake anahitaji miaka 10 ili aifikishe Mwanza.