Mtangazaji Jonijoo atoka Wasafi FM/TV na kuhamia ETV/EFM

Akili yako haina akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Aisee, kwenye list mwondoe huyo no 4.
 
Taarifa zinasema kwamba mtangazaji na interviewer mwenye kipaji cha kipekee hapa bongo "Jonijoo" ametoka wasafi na kusajiliwa na Majizo wa EFM na TVE

Jonijoo kwa wakati alipokua Wasafi Media alihost vipindi kadhaa ikiwemo "The Bar tender" na baadhi ya interview za wasafi FM.
 
Naona mkurugenzi wa ETV na EFM majizo anamtangaza jonijoo kama mtangazaji wao mpya wa vipindi na hii ni baada ya kuhama WASAFI

Sent using Jamii Forums mobile app
naona tangu ameingia wasafi aliitelekeza channel yake ya youtube. Bora huko EFM nadhan atakua free kuendeleza chanel yake coz ina subs kuelekea laki 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…