Mtangazaji Jonijoo atoka Wasafi FM/TV na kuhamia ETV/EFM

Mtangazaji Jonijoo atoka Wasafi FM/TV na kuhamia ETV/EFM

Hakuanzia kwa wasafi, bali wasafi walimuiba sehemu jamaa akiwa na branded
Times walim-brand jonijoo like seriously?

Brand ni kitu kikubwa sana, embu nionyeshe uzi humu JF au social media yoyote duniani Jonijoo akijadiliwa enzi yuko Times kama hakuna embu tukalale
 
  • Thanks
Reactions: sab
Kamari ya kuwachukua akina Lilommy na kuiua block89 ni kosa la karne. Wasafi hakuna viongozi

Sent using Jamii Forums mobile app

Kati ya Kosa ambalo Diamond ataendelea kulijutia ni Kuua block 88.9 ! Diamond tangu ameua block 88.9 bado inaonesha wazi The Switch haijaleta chochote kipya! Diamond alikosa washauri

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hakuna radio ina brand mtu bali radio inaajiri brand.
Huu ni ujinga na unajua.

Aliyah, Calypso, Nick millz, Amy na Jonijoo wa WMG wameajiriwa wakiwa brand tayari?
Angalia followers alionao sasa Nick alafu waangalie baada ya miezi miwili kama hautashangaa kwa hao wengine umeshachelewa

Millard Ayo, Diva, Alex Lwambano, Adam Mchomvu, Hamis Mandi, Dj Fetty, Mina Ally plus wengine wote pale CMG ukiwaondoa Fredwa, Mamy baby, Kennedy, George Bantu, Musa Hussein wamekuwa Branded na CMG yenyewe.

Times fm imetoa brand mbili tu kubwa zilizofahamika nchi nzima zikiwa pale (kwa wapenda burudani maana kuna wengine hawawajui) Dida michubuo na Lil Ommy.
Feza akihamia Wasafi hamtaanza kumjadiri humu kila siku?
 
Kati ya Kosa ambalo Diamond ataendelea kulijutia ni Kuua block 88.9 ! Diamond tangu ameua block 88.9 bado inaonesha wazi The Switch haijaleta chochote kipya! Diamond alikosa washauri

Sent from my iPhone using Tapatalk
Diamond sio Coordinator wa vipindi na hajui lolote kuhusu Radio wala media yupo pale kama pambo.

Nelly ndio mkuu wa kitengo cha Radio na washauri wakuu pale ni kigugumizi Ricardo Momo, Romeo Jones, Tale, Salam, Fella na Mtu Imara.
 
naona kabisa wasafi media inaenda kuanguka kama wanashindwa kuwahandle watangazaji muhimu Kama jonijoo na kufuta kipindi bora kama block89,
kipindi kilikuwa kwenye muda mzuri sana aisee.

hapo wasije mpoteza na calypso,maana inaonekana watangazaji waliokuwa kwenye block 89 wako very Disappointed kwa kufutwa kipindi chao.

Mimi nilikuwa fan wa kipindi chao na in short nko disappointed pia.

Wasafi waangalie namna ya kuwatreat presenters wao equally sio kuwafanya wengine waonekane ni bora zaidi ya wengine.

binafsi nitahama na jonijoo bcoz ni fan wake.
 
Kwahiyo kuondoka kwa jonijo ndo kuanguka kwa wasafi? Mbona hi ni Kali aisee
 
Times walim-brand jonijoo like seriously?

Brand ni kitu kikubwa sana, embu nionyeshe uzi humu JF au social media yoyote duniani Jonijoo akijadiliwa enzi yuko Times kama hakuna embu tukalale
Kujadiliwa wasafi ndio kuwa brand, hebu acha mahaba yasiyo na faida kwako
 
Jonijoo amekuwa branded na Wasafi na si Radio yoyote wala Youtube.

Umma wa watanzania walio wengi wamemjulia wasafi, anajadiliwa kwa sababu alikuwa wasafi vinginevyo hakuna ambaye angemjadili.
Binafsi nimemjua Jonijoo muda sana na mdogo wangu ameshafanya interview nae (ni mwanamuziki) ila kumjua kwangu kitambo hakuleti maana watanzania wengi walikuwa wanamfahamu tayari.

Mtu wa Kigoma, Mwanza, Tabora, Shinyanga, Mara, Katavi, Kagera, Singida, Dodoma, Moro town, Iringa, na hata Morogoro angemjuaje John na hasikilizi Radio?
Bado lily Ommy nae mtasema kawa branded na wasafi..kuna mtu wenu mnapendaga kumtengenezea u Mungu mtu hiv mnamuona Bonge la Isack Newton Ok tumalize hivi hata ZEMBWELA,KITENGE nao tumewajua wasafi,nadhani limeisha hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila ya kwenda wasafi kuna mtu angemjadili humu?
Nionyeshe uzi unaomuhusu enzi yuko times
Kujadiliwa ndo nn bro Tunamzunguzia jonijoo before wasafi na ukitaka kujua jamaa alikuwa juu ni kwa kuangalia Sera ya wasafi wenyewe huwa wanachukua watangazaji ambao ni POTENTIAL na jonijoo was among of them na ndo maana mapema tu akala mkataba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wabongo tuache roho mbaya kabla ya Jonijoo kusepa nyuzi nyingi humu zilikuwa zinaponda kipindi cha block 89 wakidai ni kama genge la kihuni mara ooh wapiga makelele. Leo hii mtaalam kasepa wanadai kilikuwa kuwa kipindi bora sana hakikutakiwa kufutwa[emoji2].

Nimejifunza: Hawa ndio watanzania ukitaka kufanya jambo lako fanya tu usiangalia wanasema nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naona kabisa wasafi media inaenda kuanguka kama wanashindwa kuwahandle watangazaji muhimu Kama jonijoo na kufuta kipindi bora kama block89,
kipindi kilikuwa kwenye muda mzuri sana aisee.

hapo wasije mpoteza na calypso,maana inaonekana watangazaji waliokuwa kwenye block 89 wako very Disappointed kwa kufutwa kipindi chao.

Mimi nilikuwa fan wa kipindi chao na in short nko disappointed pia.

Wasafi waangalie namna ya kuwatreat presenters wao equally sio kuwafanya wengine waonekane ni bora zaidi ya wengine.

binafsi nitahama na jonijoo bcoz ni fan wake.
100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom