Latrice
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 2,389
- 2,366
Na mkawa mnamjadiri JF au social media gani nyingine?alianza kuwa maarufu akiwa anafanya kipind cha NOW U NO online
Watu bana 😊😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mkawa mnamjadiri JF au social media gani nyingine?alianza kuwa maarufu akiwa anafanya kipind cha NOW U NO online
Times walim-brand jonijoo like seriously?Hakuanzia kwa wasafi, bali wasafi walimuiba sehemu jamaa akiwa na branded
Hakuna radio ina brand mtu bali radio inaajiri brand.Times walim-brand jonijoo like seriously?
Brand ni kitu kikubwa sana, embu nionyeshe uzi humu JF au social media yoyote duniani Jonijoo akijadiliwa enzi yuko Times kama hakuna embu tukalale
Kamari ya kuwachukua akina Lilommy na kuiua block89 ni kosa la karne. Wasafi hakuna viongozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni ujinga na unajua.Hakuna radio ina brand mtu bali radio inaajiri brand.
Diamond sio Coordinator wa vipindi na hajui lolote kuhusu Radio wala media yupo pale kama pambo.Kati ya Kosa ambalo Diamond ataendelea kulijutia ni Kuua block 88.9 ! Diamond tangu ameua block 88.9 bado inaonesha wazi The Switch haijaleta chochote kipya! Diamond alikosa washauri
Sent from my iPhone using Tapatalk
Kwahiyo kuondoka kwa jonijo ndo kuanguka kwa wasafi? Mbona hi ni Kali aiseenaona kabisa wasafi media inaenda kuanguka kama wanashindwa kuwahandle watangazaji muhimu Kama jonijoo na kufuta kipindi bora kama block89,
kipindi kilikuwa kwenye muda mzuri sana aisee.
hapo wasije mpoteza na calypso,maana inaonekana watangazaji waliokuwa kwenye block 89 wako very Disappointed kwa kufutwa kipindi chao.
Mimi nilikuwa fan wa kipindi chao na in short nko disappointed pia.
Wasafi waangalie namna ya kuwatreat presenters wao equally sio kuwafanya wengine waonekane ni bora zaidi ya wengine.
binafsi nitahama na jonijoo bcoz ni fan wake.
Nikweli kabisaalianza kuwa maarufu akiwa anafanya kipind cha NOW U NO online
Mzee acha chuki za kipuuzi wewe si ndo ulikuwa unamponda jonijo au so wewe hiv wasafi walikufanya Nini mpaka unachuki nao sanaHakuna radio ina brand mtu bali radio inaajiri brand.
Kujadiliwa wasafi ndio kuwa brand, hebu acha mahaba yasiyo na faida kwakoTimes walim-brand jonijoo like seriously?
Brand ni kitu kikubwa sana, embu nionyeshe uzi humu JF au social media yoyote duniani Jonijoo akijadiliwa enzi yuko Times kama hakuna embu tukalale
Bado lily Ommy nae mtasema kawa branded na wasafi..kuna mtu wenu mnapendaga kumtengenezea u Mungu mtu hiv mnamuona Bonge la Isack Newton Ok tumalize hivi hata ZEMBWELA,KITENGE nao tumewajua wasafi,nadhani limeisha hili.Jonijoo amekuwa branded na Wasafi na si Radio yoyote wala Youtube.
Umma wa watanzania walio wengi wamemjulia wasafi, anajadiliwa kwa sababu alikuwa wasafi vinginevyo hakuna ambaye angemjadili.
Binafsi nimemjua Jonijoo muda sana na mdogo wangu ameshafanya interview nae (ni mwanamuziki) ila kumjua kwangu kitambo hakuleti maana watanzania wengi walikuwa wanamfahamu tayari.
Mtu wa Kigoma, Mwanza, Tabora, Shinyanga, Mara, Katavi, Kagera, Singida, Dodoma, Moro town, Iringa, na hata Morogoro angemjuaje John na hasikilizi Radio?
Kama ulikuwa humjui n ww bro usitufosi.Not everyone watches YouTube wewe kiswaswadu.
Ana subscribers 300K tu umaarufu alioupata wasafi ni mara million 10 kuliko aliokuwa nao.
Nionyeshe uzi mkimjadili kabla hajaenda Wasafi haupo kacheze rede
Kujadiliwa ndo nn bro Tunamzunguzia jonijoo before wasafi na ukitaka kujua jamaa alikuwa juu ni kwa kuangalia Sera ya wasafi wenyewe huwa wanachukua watangazaji ambao ni POTENTIAL na jonijoo was among of them na ndo maana mapema tu akala mkataba.Bila ya kwenda wasafi kuna mtu angemjadili humu?
Nionyeshe uzi unaomuhusu enzi yuko times
Kabisa..kwa neno lako AMESAMEHEWA.Tumsamehe bure aise..
Anahisi kutoiskiliza kwake yeye bas na sis hatuiskilizi labda
100%Kati ya Kosa ambalo Diamond ataendelea kulijutia ni Kuua block 88.9 ! Diamond tangu ameua block 88.9 bado inaonesha wazi The Switch haijaleta chochote kipya! Diamond alikosa washauri
Sent from my iPhone using Tapatalk
100%naona kabisa wasafi media inaenda kuanguka kama wanashindwa kuwahandle watangazaji muhimu Kama jonijoo na kufuta kipindi bora kama block89,
kipindi kilikuwa kwenye muda mzuri sana aisee.
hapo wasije mpoteza na calypso,maana inaonekana watangazaji waliokuwa kwenye block 89 wako very Disappointed kwa kufutwa kipindi chao.
Mimi nilikuwa fan wa kipindi chao na in short nko disappointed pia.
Wasafi waangalie namna ya kuwatreat presenters wao equally sio kuwafanya wengine waonekane ni bora zaidi ya wengine.
binafsi nitahama na jonijoo bcoz ni fan wake.