Mtangazaji Maulid Kitenge ahamia WASAFI FM akitokea EFM

Mkuu tumefanana majina tu. Mi situmii ID fake, thats my real name.
Nadhani nmeeleweka.
 
Hivi watangazaji wenye elimu kuanzia shahada na astashada mishahara huanzia tsh ngapi hasa?
 
Maulid Kitenge ni mtangazji mwenye mbwembwe lakini si mchambuzi mahiri...

Kama kutangaza tu habari za michezo kwa mikogo, jamaa yupo vizuri...

Lakini si mahiri katika kuchambua sayansi na ufundi wa michezo kwa mapana yake...

Wasafi wakitaka kuteka masikio ya wadau wa michezo basi hawana budi kutafuta pia akili za watu wenye kuchambua michezo kama Edo (soka) au yule bwana mdogo Geff (michezo yote) n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…