Mtangazaji Maulid Kitenge wa EFM na TvE kasoma Chuo gani cha Uandishi wa Habari Tanzania au nje ya Tanzania?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Natamani sana nikijue hicho Chuo ili nianze Kukidharau kwani Kimezalisha a very bogus Candidate katika Tasnia ya Uandishi wa Habari na Utangazaji nchini Tanzania.

Maulid Kitenge muda si mrefu akiwa katika Kipindi cha Sports Headquarters cha EFM katoka Kumuuliza Mchambuzi Jeff Leah Maoni yake kuhusu Derby ya Kesho ya Simba SC na Yanga SC na baadae akatushangaza sana Wasikilizaji wenye Umakini na Uweledi.

Mchambuzi Jeff Leah akachambua vyema tu kwa kusema kuwa kwa Maoni yake anawapa Simba SC nafasi Kubwa ya Kushinda kwakuwa imefanya Maandalizi mazuri, imekamilika Kiufundi, haijabadili sana Kikosi chake na imecheza Mechi Kubwa ya Kirafiki na Timu Kubwa Barani Afrika, imeonyesha Mpira mkubwa hivyo pamoja walifungwa lakini Watakuwa wameimarika zaidi.

Cha Kushangaza Mtangazaji Maulid Kitenge baada ya kuona Mchambuzi Jeff Leah kaisifia zaidi Simba SC na kuipa Alama kubwa ya Ushindi Kesho huku Yeye akiwa ni Yanga SC lia lia akamchomokea kwa kusema kuwa lakini Yanga SC mara zote ikiwa Mbovu / Dhaifu huwa inamfunga Simba SC au hata kutosa Sare.

Maulid Kitenge huyu huyu hapo kabla alimuuliza pia Mchambuzi mwingine Jemedari Said kuhusu Maoni yake kuelekea Derby ya Kesho ambapo Jemedari alikuwa Neutral na sikumsikia Kitenge akisema lolote ila Jeff Leah alivyochambua Kiufundi na Kuipa Simba SC nafasi ya Kushinda Kitenge akaumia na kuanza Kuwashwawashwa kama Kawaida yake.

Moja ya takwa ( hitaji ) Kuu ( Mama ) katika Uandishi wa Habari wowote ule duniani ( hasa wa Print na Electronic ) ni Kumtaka Mhusika ( Mtangazaji au Mwandishi ) kuwa Objective ( Kutoegamia kokote ) na siyo Subjective ( Kupendelea ) ila huwa nasikitika kuona Mtangazaji huyu Maulid Kitenge hili huwa linamshinda hivyo kupelekea kutoka kujua ( Kuhoji ) amesomea Chuo gani / kipi cha Uandishi wa Habari ili nianze Kukidharau na Kuwadharau hata na Wakufunzi / Wahadhiri wake pia.
 
Kwa huu uandishi wako pia tutahoji ulikosoma maana umekaa kishabiki shabiki sana.......Maulidi kazi yake kuuliza maswali kwa different angles.........Hata kama wewe ni shabiki wa Simba na ulifurahia majibu la Jeff Leah, ulitaka Kitenge asiulize tena?

Ujuaji ukizidi unakuwa ujinga
 
Natamani sana nikijue hicho Chuo ili nianze Kukidharau kwani Kimezalisha a very bogus Candidate katika Tasnia ya Uandishi wa Habari na Utangazaji nchini Tanzania.

Maulid Kitenge muda si mrefu akiwa katika Kipindi cha Sports Headquarters cha EFM katoka Kumuuliza Mchambuzi Jeff Leah Maoni yake kuhusu Derby ya Kesho ya Simba SC na Yanga SC na baadae akatushangaza sana Wasikilizaji wenye Umakini na Uweledi.

Mchambuzi Jeff Leah akachambua vyema tu kwa kusema kuwa kwa Maoni yake anawapa Simba SC nafasi Kubwa ya Kushinda kwakuwa imefanya Maandalizi mazuri, imekamilika Kiufundi, haijabadili sana Kikosi chake na imecheza Mechi Kubwa ya Kirafiki na Timu Kubwa Barani Afrika, imeonyesha Mpira mkubwa hivyo pamoja walifungwa lakini Watakuwa wameimarika zaidi.

Cha Kushangaza Mtangazaji Maulid Kitenge baada ya kuona Mchambuzi Jeff Leah kaisifia zaidi Simba SC na kuipa Alama kubwa ya Ushindi Kesho huku Yeye akiwa ni Yanga SC lia lia akamchomokea kwa kusema kuwa lakini Yanga SC mara zote ikiwa Mbovu / Dhaifu huwa inamfunga Simba SC au hata kutosa Sare.

Maulid Kitenge huyu huyu hapo kabla alimuuliza pia Mchambuzi mwingine Jemedari Said kuhusu Maoni yake kuelekea Derby ya Kesho ambapo Jemedari alikuwa Neutral na sikumsikia Kitenge akisema lolote ila Jeff Leah alivyochambua Kiufundi na Kuipa Simba SC nafasi ya Kushinda Kitenge akaumia na kuanza Kuwashwawashwa kama Kawaida yake.

Moja ya takwa ( hitaji ) Kuu ( Mama ) katika Uandishi wa Habari wowote ule duniani ( hasa wa Print na Electronic ) ni Kumtaka Mhusika ( Mtangazaji au Mwandishi ) kuwa Objective ( Kutoegamia kokote ) na siyo Subjective ( Kupendelea ) ila huwa nasikitika kuona Mtangazaji huyu Maulid Kitenge hili huwa linamshinda hivyo kupelekea kutoka kujua ( Kuhoji ) amesomea Chuo gani / kipi cha Uandishi wa Habari ili nianze Kukidharau na Kuwadharau hata na Wakufunzi / Wahadhiri wake pia.

Ungetumia nguvu hizi kwenye mambo yenye tija ungefika mbali sana.

Stop hating.
 
Ana elimu ya kubumba bumba huyo. Uswahili mwingi sana.
Nasikia sijui Form Four au Six alizungusha kwa Kupata Zero kabisa ikimaanisha kuwa hata Kichwani mwake ni Sifuri na ndiyo maana anashabikia pia Timu yenye Matahaira wengi iliyo mkabala na yanakopaki Mabasi ya Mwendokasi.
 
Kwa huu uamdishi wako pia tutahoji ulikosoma maana umekaa kishabiki shabiki sana.......Maulidi kazi yake kuuliza maswali kwa different angles.........Hata kama wewe ni shabiki wa Simba na ulifurahia majibu la Jeff Leah, ulitaka Kitenge asiulize tena?

Ujuaji wa ukizidi unakuwa ujinga
Kumbe hata Wewe ni FOOL kama alivyo?
 
Natamani sana nikijue hicho Chuo ili nianze Kukidharau kwani Kimezalisha a very bogus Candidate katika Tasnia ya Uandishi wa Habari na Utangazaji nchini Tanzania.

Maulid Kitenge muda si mrefu akiwa katika Kipindi cha Sports Headquarters cha EFM katoka Kumuuliza Mchambuzi Jeff Leah Maoni yake kuhusu Derby ya Kesho ya Simba SC na Yanga SC na baadae akatushangaza sana Wasikilizaji wenye Umakini na Uweledi.

Mchambuzi Jeff Leah akachambua vyema tu kwa kusema kuwa kwa Maoni yake anawapa Simba SC nafasi Kubwa ya Kushinda kwakuwa imefanya Maandalizi mazuri, imekamilika Kiufundi, haijabadili sana Kikosi chake na imecheza Mechi Kubwa ya Kirafiki na Timu Kubwa Barani Afrika, imeonyesha Mpira mkubwa hivyo pamoja walifungwa lakini Watakuwa wameimarika zaidi.

Cha Kushangaza Mtangazaji Maulid Kitenge baada ya kuona Mchambuzi Jeff Leah kaisifia zaidi Simba SC na kuipa Alama kubwa ya Ushindi Kesho huku Yeye akiwa ni Yanga SC lia lia akamchomokea kwa kusema kuwa lakini Yanga SC mara zote ikiwa Mbovu / Dhaifu huwa inamfunga Simba SC au hata kutosa Sare.

Maulid Kitenge huyu huyu hapo kabla alimuuliza pia Mchambuzi mwingine Jemedari Said kuhusu Maoni yake kuelekea Derby ya Kesho ambapo Jemedari alikuwa Neutral na sikumsikia Kitenge akisema lolote ila Jeff Leah alivyochambua Kiufundi na Kuipa Simba SC nafasi ya Kushinda Kitenge akaumia na kuanza Kuwashwawashwa kama Kawaida yake.

Moja ya takwa ( hitaji ) Kuu ( Mama ) katika Uandishi wa Habari wowote ule duniani ( hasa wa Print na Electronic ) ni Kumtaka Mhusika ( Mtangazaji au Mwandishi ) kuwa Objective ( Kutoegamia kokote ) na siyo Subjective ( Kupendelea ) ila huwa nasikitika kuona Mtangazaji huyu Maulid Kitenge hili huwa linamshinda hivyo kupelekea kutoka kujua ( Kuhoji ) amesomea Chuo gani / kipi cha Uandishi wa Habari ili nianze Kukidharau na Kuwadharau hata na Wakufunzi / Wahadhiri wake pia.
Itakusaidia nini ukishajua?
 
Kwani Yanga iliyomfunga Simba mbele ya Magufuli na mbele ya Samia Si ilikuwa dhaifu ikilingamishwa na Simba?
Wewe ndio mihemko huangalii facts na statistics
Watu wa Yanga SC hamjawahi kuwa na Akili.
 
Back
Top Bottom