Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Mkuu, hiyo ndiyo hali ya kuwa na matokeo vichwani. Mi' sijakisikia/kukiona hicho kipindi. Lakini kwa jinsi alivyosimulia huyu anaye fanana saaaanaaa.... na GENTA.. ki- uandishi, mihemko, unazi kwa S.S.C, naona Kitenge yupo sahihi kuuliza swali kama hilo. Na mara nyingi, hata huku mitaani, huwa tunaongea hivyo, kuwa timu ambayo haipewi nafasi, huwa mara nyingi inaibuka na ushindi.Kwa huu uamdishi wako pia tutahoji ulikosoma maana umekaa kishabiki shabiki sana.......Maulidi kazi yake kuuliza maswali kwa different angles.........Hata kama wewe ni shabiki wa Simba na ulifurahia majibu la Jeff Leah, ulitaka Kitenge asiulize tena?
Ujuaji wa ukizidi unakuwa ujinga
Kwa hiyo huyu ndugu yetu, hataki kusikia suala la SIMBA kushindwa!