GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,432
- 5,864
Kifupi kishabutua hata kama ana elimu ya kuunga unga.Wengi wanadhani kusoma ndiyo kutoboa......
Wengi tumekariri hivyo mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifupi kishabutua hata kama ana elimu ya kuunga unga.Wengi wanadhani kusoma ndiyo kutoboa......
Kusoma siyo kutoboa, ni kuongeza maarifa.....nina jamaa yangu ana pihechidii ina anazurula zurula tu hana hata mwelekeo.Kifupi kishabutua hata kama ana elimu ya kuunga unga.
Wengi tumekariri hivyo mkuu.
Kweli mkuu, mm nimefungua huu uzi nikajua kuna cha maana kumbe anamchukia Maulidi kwa sababu yeye ni simba na anaona kama maulidi kaipendelea Yanga.Ungetumia nguvu hizi kwenye mambo yenye tija ungefika mbali sana.
Stop hating.
Daaah mbona naona kama ni wewe ndio wakukuuliza umesoma hadi level gani ya elimu yako, wewe ndio unaonekana mtupu zaidi katika kuelewa vitu. swali la Maulid Kitenge kwa huyo Leah liko sawa kabisa halina kosa lolote maana ndio ukweli wenyewe Yanga mbovu uwa inamshinda Simba kirahisi tu na vile vile Simba mbovu humfunga Yanga kirahisi tu.Siku zingine usifungue post kwa mapumba haya uliotuwekea. Nyanoko lolo.Natamani sana nikijue hicho Chuo ili nianze Kukidharau kwani Kimezalisha a very bogus Candidate katika Tasnia ya Uandishi wa Habari na Utangazaji nchini Tanzania.
Maulid Kitenge muda si mrefu akiwa katika Kipindi cha Sports Headquarters cha EFM katoka Kumuuliza Mchambuzi Jeff Leah Maoni yake kuhusu Derby ya Kesho ya Simba SC na Yanga SC na baadae akatushangaza sana Wasikilizaji wenye Umakini na Uweledi.
Mchambuzi Jeff Leah akachambua vyema tu kwa kusema kuwa kwa Maoni yake anawapa Simba SC nafasi Kubwa ya Kushinda kwakuwa imefanya Maandalizi mazuri, imekamilika Kiufundi, haijabadili sana Kikosi chake na imecheza Mechi Kubwa ya Kirafiki na Timu Kubwa Barani Afrika, imeonyesha Mpira mkubwa hivyo pamoja walifungwa lakini Watakuwa wameimarika zaidi.
Cha Kushangaza Mtangazaji Maulid Kitenge baada ya kuona Mchambuzi Jeff Leah kaisifia zaidi Simba SC na kuipa Alama kubwa ya Ushindi Kesho huku Yeye akiwa ni Yanga SC lia lia akamchomokea kwa kusema kuwa lakini Yanga SC mara zote ikiwa Mbovu / Dhaifu huwa inamfunga Simba SC au hata kutosa Sare.
Maulid Kitenge huyu huyu hapo kabla alimuuliza pia Mchambuzi mwingine Jemedari Said kuhusu Maoni yake kuelekea Derby ya Kesho ambapo Jemedari alikuwa Neutral na sikumsikia Kitenge akisema lolote ila Jeff Leah alivyochambua Kiufundi na Kuipa Simba SC nafasi ya Kushinda Kitenge akaumia na kuanza Kuwashwawashwa kama Kawaida yake.
Moja ya takwa ( hitaji ) Kuu ( Mama ) katika Uandishi wa Habari wowote ule duniani ( hasa wa Print na Electronic ) ni Kumtaka Mhusika ( Mtangazaji au Mwandishi ) kuwa Objective ( Kutoegamia kokote ) na siyo Subjective ( Kupendelea ) ila huwa nasikitika kuona Mtangazaji huyu Maulid Kitenge hili huwa linamshinda hivyo kupelekea kutoka kujua ( Kuhoji ) amesomea Chuo gani / kipi cha Uandishi wa Habari ili nianze Kukidharau na Kuwadharau hata na Wakufunzi / Wahadhiri wake pia.
Ni sababu hajaiunga mkono Simba. Simple. Angesema Simba ana shinda kwake ndo ingekuwa akili.una doubt na ufanisi wa MAULID KITENGE ? au ni wivu + ushabiki?
Hata hivyo mimi naona ni miongoni mwa watangazaji wachache sana wenye uwezo mkubwa sana wa kudhibiti kile anachokifanya.yaani namkubali sanaNatamani sana nikijue hicho Chuo ili nianze Kukidharau kwani Kimezalisha a very bogus Candidate katika Tasnia ya Uandishi wa Habari na Utangazaji nchini Tanzania.
Maulid Kitenge muda si mrefu akiwa katika Kipindi cha Sports Headquarters cha EFM katoka Kumuuliza Mchambuzi Jeff Leah Maoni yake kuhusu Derby ya Kesho ya Simba SC na Yanga SC na baadae akatushangaza sana Wasikilizaji wenye Umakini na Uweledi.
Mchambuzi Jeff Leah akachambua vyema tu kwa kusema kuwa kwa Maoni yake anawapa Simba SC nafasi Kubwa ya Kushinda kwakuwa imefanya Maandalizi mazuri, imekamilika Kiufundi, haijabadili sana Kikosi chake na imecheza Mechi Kubwa ya Kirafiki na Timu Kubwa Barani Afrika, imeonyesha Mpira mkubwa hivyo pamoja walifungwa lakini Watakuwa wameimarika zaidi.
Cha Kushangaza Mtangazaji Maulid Kitenge baada ya kuona Mchambuzi Jeff Leah kaisifia zaidi Simba SC na kuipa Alama kubwa ya Ushindi Kesho huku Yeye akiwa ni Yanga SC lia lia akamchomokea kwa kusema kuwa lakini Yanga SC mara zote ikiwa Mbovu / Dhaifu huwa inamfunga Simba SC au hata kutosa Sare.
Maulid Kitenge huyu huyu hapo kabla alimuuliza pia Mchambuzi mwingine Jemedari Said kuhusu Maoni yake kuelekea Derby ya Kesho ambapo Jemedari alikuwa Neutral na sikumsikia Kitenge akisema lolote ila Jeff Leah alivyochambua Kiufundi na Kuipa Simba SC nafasi ya Kushinda Kitenge akaumia na kuanza Kuwashwawashwa kama Kawaida yake.
Moja ya takwa ( hitaji ) Kuu ( Mama ) katika Uandishi wa Habari wowote ule duniani ( hasa wa Print na Electronic ) ni Kumtaka Mhusika ( Mtangazaji au Mwandishi ) kuwa Objective ( Kutoegamia kokote ) na siyo Subjective ( Kupendelea ) ila huwa nasikitika kuona Mtangazaji huyu Maulid Kitenge hili huwa linamshinda hivyo kupelekea kutoka kujua ( Kuhoji ) amesomea Chuo gani / kipi cha Uandishi wa Habari ili nianze Kukidharau na Kuwadharau hata na Wakufunzi / Wahadhiri wake pia.
Nyerere naye alikua mshabiki wa Yanga kwa hiyo nayeye alikua tahira kumbeNasikia sijui Form Four au Six alizungusha kwa Kupata Zero kabisa ikimaanisha kuwa hata Kichwani mwake ni Sifuri na ndiyo maana anashabikia pia Timu yenye Matahaira wengi iliyo mkabala na yanakopaki Mabasi ya Mwendokasi.
Kaomba chuo. Mpe jina /jibu. Huna acha kweeka SHOMBOuna doubt na ufanisi wa MAULID KITENGE ? au ni wivu + ushabiki?
JF ni zaidi ya Google.Kesho jumamosi nitakuja kukumbusha kwamba Kitenge alikuwa anakijuwa anachokiongea kuliko hizi porojo zako.
Kesho si mbali, save this comment.
Natamani sana nikijue hicho Chuo ili nianze Kukidharau kwani Kimezalisha a very bogus Candidate katika Tasnia ya Uandishi wa Habari na Utangazaji nchini Tanzania.
Maulid Kitenge muda si mrefu akiwa katika Kipindi cha Sports Headquarters cha EFM katoka Kumuuliza Mchambuzi Jeff Leah Maoni yake kuhusu Derby ya Kesho ya Simba SC na Yanga SC na baadae akatushangaza sana Wasikilizaji wenye Umakini na Uweledi.
Mchambuzi Jeff Leah akachambua vyema tu kwa kusema kuwa kwa Maoni yake anawapa Simba SC nafasi Kubwa ya Kushinda kwakuwa imefanya Maandalizi mazuri, imekamilika Kiufundi, haijabadili sana Kikosi chake na imecheza Mechi Kubwa ya Kirafiki na Timu Kubwa Barani Afrika, imeonyesha Mpira mkubwa hivyo pamoja walifungwa lakini Watakuwa wameimarika zaidi.
Cha Kushangaza Mtangazaji Maulid Kitenge baada ya kuona Mchambuzi Jeff Leah kaisifia zaidi Simba SC na kuipa Alama kubwa ya Ushindi Kesho huku Yeye akiwa ni Yanga SC lia lia akamchomokea kwa kusema kuwa lakini Yanga SC mara zote ikiwa Mbovu / Dhaifu huwa inamfunga Simba SC au hata kutosa Sare.
Maulid Kitenge huyu huyu hapo kabla alimuuliza pia Mchambuzi mwingine Jemedari Said kuhusu Maoni yake kuelekea Derby ya Kesho ambapo Jemedari alikuwa Neutral na sikumsikia Kitenge akisema lolote ila Jeff Leah alivyochambua Kiufundi na Kuipa Simba SC nafasi ya Kushinda Kitenge akaumia na kuanza Kuwashwawashwa kama Kawaida yake.
Moja ya takwa ( hitaji ) Kuu ( Mama ) katika Uandishi wa Habari wowote ule duniani ( hasa wa Print na Electronic ) ni Kumtaka Mhusika ( Mtangazaji au Mwandishi ) kuwa Objective ( Kutoegamia kokote ) na siyo Subjective ( Kupendelea ) ila huwa nasikitika kuona Mtangazaji huyu Maulid Kitenge hili huwa linamshinda hivyo kupelekea kutoka kujua ( Kuhoji ) amesomea Chuo gani / kipi cha Uandishi wa Habari ili nianze Kukidharau na Kuwadharau hata na Wakufunzi / Wahadhiri wake pia.
Hisia na unazi wako kwa Simba umekuathiri katika andiko lako Mkuu (kudecrare interest mimi pia ni Simba). Vinginevyo ungeweza kuandika andiko zuri kutokana na kichwa cha habari. Umepoteza mda wako bure kwa huo mtitririko woote.Kwa ufupi hauna mantiki na haueleweki kabisa.Natamani sana nikijue hicho Chuo ili nianze Kukidharau kwani Kimezalisha a very bogus Candidate katika Tasnia ya Uandishi wa Habari na Utangazaji nchini Tanzania.
Maulid Kitenge muda si mrefu akiwa katika Kipindi cha Sports Headquarters cha EFM katoka Kumuuliza Mchambuzi Jeff Leah Maoni yake kuhusu Derby ya Kesho ya Simba SC na Yanga SC na baadae akatushangaza sana Wasikilizaji wenye Umakini na Uweledi.
Mchambuzi Jeff Leah akachambua vyema tu kwa kusema kuwa kwa Maoni yake anawapa Simba SC nafasi Kubwa ya Kushinda kwakuwa imefanya Maandalizi mazuri, imekamilika Kiufundi, haijabadili sana Kikosi chake na imecheza Mechi Kubwa ya Kirafiki na Timu Kubwa Barani Afrika, imeonyesha Mpira mkubwa hivyo pamoja walifungwa lakini Watakuwa wameimarika zaidi.
Cha Kushangaza Mtangazaji Maulid Kitenge baada ya kuona Mchambuzi Jeff Leah kaisifia zaidi Simba SC na kuipa Alama kubwa ya Ushindi Kesho huku Yeye akiwa ni Yanga SC lia lia akamchomokea kwa kusema kuwa lakini Yanga SC mara zote ikiwa Mbovu / Dhaifu huwa inamfunga Simba SC au hata kutosa Sare.
Maulid Kitenge huyu huyu hapo kabla alimuuliza pia Mchambuzi mwingine Jemedari Said kuhusu Maoni yake kuelekea Derby ya Kesho ambapo Jemedari alikuwa Neutral na sikumsikia Kitenge akisema lolote ila Jeff Leah alivyochambua Kiufundi na Kuipa Simba SC nafasi ya Kushinda Kitenge akaumia na kuanza Kuwashwawashwa kama Kawaida yake.
Moja ya takwa ( hitaji ) Kuu ( Mama ) katika Uandishi wa Habari wowote ule duniani ( hasa wa Print na Electronic ) ni Kumtaka Mhusika ( Mtangazaji au Mwandishi ) kuwa Objective ( Kutoegamia kokote ) na siyo Subjective ( Kupendelea ) ila huwa nasikitika kuona Mtangazaji huyu Maulid Kitenge hili huwa linamshinda hivyo kupelekea kutoka kujua ( Kuhoji ) amesomea Chuo gani / kipi cha Uandishi wa Habari ili nianze Kukidharau na Kuwadharau hata na Wakufunzi / Wahadhiri wake pia.
Simba SC hatuna Mshabiki si tu Mnafiki kama ulivyo bali pia Mpumbavu kama Wewe.Hisia na unazi wako kwa Simba umekuathiri katika andiko lako Mkuu (kudecrare interest mimi pia ni Simba). Vinginevyo ungeweza kuandika andiko zuri kutokana na kichwa cha habari. Umepoteza mda wako bure kwa huo mtitririko woote.Kwa ufupi hauna mantiki na haueleweki kabisa.
Wewe pimbi una matatizo makubwa sana ya ubongo..Simba SC hatuna Mshabiki si tu Mnafiki kama ulivyo bali pia Mpumbavu kama Wewe.
Kama aliyonayo Mamaako.Wewe pimbi una matatizo makubwa sana ya ubongo..
LitomboKama aliyonayo Mamaako.