Mtangazaji Maulid Kitenge wa EFM na TvE kasoma Chuo gani cha Uandishi wa Habari Tanzania au nje ya Tanzania?

Maulid Kitenge ni mwanasheria yule katoka law school hana hata miaka 3
 
Wewe ni kijana wa hovyo hovyo na una maswali ya hovyo hovyo.
 
Natamani sana nikijue hicho Chuo ili nianze Kukidharau kwani Kimezalisha a very bogus Candidate katika Tasnia ya Uandishi wa Habari na Utangazaji nchini Tanzania.

Maulid Kitenge muda si mrefu akiwa katika Kipindi cha Sports Headquarters cha EFM katoka Kumuuliza Mchambuzi Jeff Leah Maoni yake kuhusu Derby ya Kesho ya Simba SC na Yanga SC na baadae akatushangaza sana Wasikilizaji wenye Umakini na Uweledi.

Mchambuzi Jeff Leah akachambua vyema tu kwa kusema kuwa kwa Maoni yake anawapa Simba SC nafasi Kubwa ya Kushinda kwakuwa imefanya Maandalizi mazuri, imekamilika Kiufundi, haijabadili sana Kikosi chake na imecheza Mechi Kubwa ya Kirafiki na Timu Kubwa Barani Afrika, imeonyesha Mpira mkubwa hivyo pamoja walifungwa lakini Watakuwa wameimarika zaidi.

Cha Kushangaza Mtangazaji Maulid Kitenge baada ya kuona Mchambuzi Jeff Leah kaisifia zaidi Simba SC na kuipa Alama kubwa ya Ushindi Kesho huku Yeye akiwa ni Yanga SC lia lia akamchomokea kwa kusema kuwa lakini Yanga SC mara zote ikiwa Mbovu / Dhaifu huwa inamfunga Simba SC au hata kutosa Sare.

Maulid Kitenge huyu huyu hapo kabla alimuuliza pia Mchambuzi mwingine Jemedari Said kuhusu Maoni yake kuelekea Derby ya Kesho ambapo Jemedari alikuwa Neutral na sikumsikia Kitenge akisema lolote ila Jeff Leah alivyochambua Kiufundi na Kuipa Simba SC nafasi ya Kushinda Kitenge akaumia na kuanza Kuwashwawashwa kama Kawaida yake.

Moja ya takwa ( hitaji ) Kuu ( Mama ) katika Uandishi wa Habari wowote ule duniani ( hasa wa Print na Electronic ) ni Kumtaka Mhusika ( Mtangazaji au Mwandishi ) kuwa Objective ( Kutoegamia kokote ) na siyo Subjective ( Kupendelea ) ila huwa nasikitika kuona Mtangazaji huyu Maulid Kitenge hili huwa linamshinda hivyo kupelekea kutoka kujua ( Kuhoji ) amesomea Chuo gani / kipi cha Uandishi wa Habari ili nianze Kukidharau na Kuwadharau hata na Wakufunzi / Wahadhiri wake pia.
Ukishajua nambie na baba levo alisoma wapi uandishi wa habari
 
Alisoma chuo cha uandishi wa habari wakati huo kikiitwa tsj,ambacho baadae kiliunganishwa na chuo kikuu udsm

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Elimu na chuo kinachomsaidia ni kujua kiswahili cha kariakoo tu.Yeye na Mbwiga wote Sawa kichwani mtandao wa elimu is not reachable.walisoma chuo mkuu cha Kariakoo shimoni
 
Mie nataka fahamu matokeo tu hii mechi iliishaje
 
Back
Top Bottom